Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROFESA MAZRUI AFARIKI DUNIA

Profesa Ali Mazrui enzi za uhai wake. MSOMI mashuhuri wa masuala ya kisiasa, utamaduni wa Kiafrika na dini ya kiisilamu wa nchini Kenya, Profesa Ali Mazrui ameaga dunia leo akiwa Marekani. Mazrui alyekuwa anaishi nchini Marekani, amefariki akiwa na umri wa miaka 81baada ya kuugua kwa muda mrefu. Taarifa zinadai kuwa Profesa Mazrui atazikwa mjini Mombasa, Pwani ya Kenya alikozaliwa. Enzi za uhai wake, marehemu alitoa ombi la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

news alert: Profesa Ali Alamin Mazrui afariki dunia

 Msomi maarufu wa Kenya Profesa Ali Alamin Mazrui (pichani) amefariki dunia leo asubuhi jijini New York, Marekani akiwa na umri wa miaka 81. 
Profesa Mazrui alikuwa mhadhili  katika chuo kikuu cha Binghamton jijini New York. Ameandika vitabu 30 ambavyo vimezungumzia masuala ya uongozi na siasa za Afrika na Kimataifa pamoja na masomo ya kiislamu. Je, unamkumbuka vipi msomi huyo? (DW - KISWAHILI)

 

10 years ago

BBCSwahili

Msomi mkenya Profesa Mazrui afariki

Msomi mashuhuri duniani Profesa Ali Mazrui ameaga dunia nchini Marekani. Mazrui ni mzaliwa wa Kenya na alikuwa anaishi Marekani

 

10 years ago

Michuzi

Prof. Ali Alamin Mazrui afariki Dunia leo

Msomi maarufu nchini Kenya na Afrika Mashariki,Prof. Ali Alamin Mazrui (pichani) amefariki dunia leo asubuhi Binghamton Jijini New York nchini Marekani. 
 Prof. Mazrui amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81,taarifa za awali zinaeleza kuwa Prof. Mazrui hakuwa akijisikia vizuri kwa miezi kadhaa kabla ya kifo chake. 
 Mwenyekiti wa Haki za Binadamau za Waislam (MUHURI) Khelef Khalifa amesema mwili wa marehemu Prof. Prof Mazrui utasafirishwa kwa ndege kwenda Kenya kwa mazishi.

 

10 years ago

Vijimambo

BURIANI PROFESA ALI MAZRUI

Octoba 14 mwaka jana Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa uliandaa hafla ya kwanza ya aina yake ya kumkumbuka na kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius kambarage Nyerere. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao hapa Umoja wa Mataifa na wageni mbalimbali. Ni hafla iliyoambatana na uzinduzi wa kitabu kinachomhusu Baba wa Taifa, Kitabu hicho kiliandikwa kwa ufundi mkubwa na Profesa Ali Mazrui kwa kushirikiana...

 

10 years ago

Michuzi

BURIANI BURIANI PROFESA ALI MAZRUI

Oktoba  14,  mwaka jana  Uwakilishi wa Kudumu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa  uliandaa hafla ya kwanza ya aina yake ya kumkumbuka na kumuenzi Baba wa Taifa  Mwalimu Julius   kambarage Nyerere.  Hafla hiyo ilihudhuriwa na  Wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao hapa  Umoja wa  Mataifa na wageni mbalimbali. Ni hafla iliyoambatana na uzinduzi wa kitabu kinachomhusu Baba wa Taifa. Kitabu hicho   kiliandikwa kwa ufundi mkubwa na Profesa Ali Mazrui   kwa kushirikiana...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia

>Mtume wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.

 

10 years ago

Mwananchi

PROFESA MBAGA: Mchumi aliyetumikia Canada, Benki ya Dunia

>Taifa lolote duniani haliwezi kuendelea bila kuwa na wachumi wanaopima na kuweka mizania ya kiuchumi kwa lengo la kusaidia ukuaji wake na kusonga mbele.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwandishi mashuhuri wa riwaya nchini Kenya, Profesa Walibora ameaga dunia

Huzuni ya kumba tasnia ya uandishi na habari Afrika Mashariki

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge afariki dunia

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepata pigo lingine kwa kuondokewa na Mbunge wa Chalinze (CCM), Said Bwanamdogo, ambaye amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani