Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BURIANI BURIANI PROFESA ALI MAZRUI

Oktoba  14,  mwaka jana  Uwakilishi wa Kudumu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa  uliandaa hafla ya kwanza ya aina yake ya kumkumbuka na kumuenzi Baba wa Taifa  Mwalimu Julius   kambarage Nyerere.  Hafla hiyo ilihudhuriwa na  Wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao hapa  Umoja wa  Mataifa na wageni mbalimbali. Ni hafla iliyoambatana na uzinduzi wa kitabu kinachomhusu Baba wa Taifa. Kitabu hicho   kiliandikwa kwa ufundi mkubwa na Profesa Ali Mazrui   kwa kushirikiana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

BURIANI PROFESA ALI MAZRUI

Octoba 14 mwaka jana Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa uliandaa hafla ya kwanza ya aina yake ya kumkumbuka na kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius kambarage Nyerere. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao hapa Umoja wa Mataifa na wageni mbalimbali. Ni hafla iliyoambatana na uzinduzi wa kitabu kinachomhusu Baba wa Taifa, Kitabu hicho kiliandikwa kwa ufundi mkubwa na Profesa Ali Mazrui kwa kushirikiana...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: Profesa Ali Alamin Mazrui afariki dunia

 Msomi maarufu wa Kenya Profesa Ali Alamin Mazrui (pichani) amefariki dunia leo asubuhi jijini New York, Marekani akiwa na umri wa miaka 81. 
Profesa Mazrui alikuwa mhadhili  katika chuo kikuu cha Binghamton jijini New York. Ameandika vitabu 30 ambavyo vimezungumzia masuala ya uongozi na siasa za Afrika na Kimataifa pamoja na masomo ya kiislamu. Je, unamkumbuka vipi msomi huyo? (DW - KISWAHILI)

 

11 years ago

BBCSwahili

Buriani Ariel Sharon

Ibaada maalum ya aliyekuwa waziri mkuu wa Israel Ariel Sharon imefanyika nje ya jengo la bunge la Israel, mjini Jerusalem

 

11 years ago

Michuzi

BURIANI ADAM KUAMBIANA





Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya leo. 
Habari zinasema Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam . Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya marehemu, ndugu,...

 

10 years ago

Raia Mwema

Buriani Mchungaji Mtikila

HARAKATI za haki za binadamu nchini zimekumbwa na pigo kubwa baada ya mmoja wa wapambanaji wa hak

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

Michuzi

BURIANI ROBIN WILLIAMS


Mcheza sinema na mchekeshaji maarufu duniani aliyepata kushinda tuzo ya Oscar Robin Williams amefariki dunia katika kifo kinachoshukiwa ni cha kujiua mwwenyewe. Alikuwa na umri wa miaka 63.

 

Kwa mujibu wa polisi wa Marin huko Calofornia, Marehemu Williams alikutwa hana fahamu huku akiwa hapumui majira ya saa sita za mchana Jumatatu nyumbani kwake Tiburon, kufuatia simu ya dharura iliyopigwa polisi hapo. Alitangazwa amefariki dunia saa sita na dakika mbili baada ya wahudumu wa huduma za...

 

11 years ago

GPL

BURIANI TONNY BARETTO

Mtoto wa marehemu John-Paul Baretto akisema machache kuhusu baba yake Mzee Ulli…

 

11 years ago

BBCSwahili

Buriani Komla Dumor

Mwandishi na mtangazaji mashuhuri wa BBC Komla Dumor ameaga dunia. Komla alifariki Jumamosi kutokana na mshtuko wa Moyo. Wengi walimuenzi na watamkumbuka kwa kazi yake nzuri

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani