Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HATIMAYE MWILI WA ASIHA MADINDA WAFANYIWA UCHUNGUZI KUZIKWA LEO MCHANA

Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi za uhai wake. Baada ya danadana nyingi, hatimaye mwili wa mnenguaji Aisha Madinda unafanyiwa upasuaji muda huu katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na mtandao Saluti5, mkurugenzi wa Aset Asha Baraka amebainisha kuwa upasuaji umeanza dakika 10 zilizopita na ni zoezi linalotarajiwa kuchukua masaa mawili. Asha Baraka amesema baada ya zoezi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

HATIMAYE MWILI WA AISHA MADINDA WAFANYIWA UCHUNGUZI KUZIKWA LEO MCHANA

Baada ya danadana nyingi, hatimaye mwili wa mnenguaji Aisha Madinda unafanyiwa upasuaji muda huu katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na mtandao Saluti5, mkurugenzi wa Aset Asha Baraka amebainisha kuwa upasuaji umeanza dakika 10 zilizopita na ni zoezi linalotarajiwa kuchukua masaa mawili.

Asha Baraka amesema baada ya zoezi hilo, watauosha mwili wa marehemu katika msikiti ulioko hapo Muhimbili ikiwa ni pamoja na uvishaji wa sanda kabla ya kuelekea nyumbani kwao...

 

10 years ago

CloudsFM

AISHA MADINDA KUZIKWA LEO

Aliyekuwa mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo,marehemu Aisha Madinda anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Kigamboni,jijini Dar.

Hapa Aisha akiwa na watoto wake enzi ya uhai wake.

Kwa mujibu wa mtoto wake wa kwanza aitwaye Faisal Madinda alisema kuwa asubuhi wako katika hospitali ya Mwananyamala kuuandaa mwili wa marehemu na baadaye wataupeleka nyumbani kwao maeneo ya Kigamboni na atazikwa leo saa kumi jioni.

 

 

10 years ago

GPL

MWILI WA MFANYAKAZI WA GLOBAL, ROBERT TILLYA WAWASILI KILIMANJARO, KUZIKWA LEO

Mwili wa marehemu Robert Tillya ukiwasili nyumbani kwao Uru-Moshi, mkoani Kilimanjaro ...Wakiwasili nyumbani kwao. Ndugu wa marehemu akiangua kilio cha majonzi.…

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MENEJA UHUSINO WA TTCL AMINI MBAGA WAAGWA DAR, KUZIKWA LEO SAME KILIMANJARO


Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Kamugisha Kazaura akitoa heshima za mwisho wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu, Amini Elias Mbaga iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza Kumekucha jijini Dar es Salaam.Kwaya ikiimba nyimbo za maombolezo wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu Amini Elias Mbaga. Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), marehemu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tyson Fury:Ushahidi wa mkulima wafanyiwa uchunguzi na Ukad

Mkulima achunguzwa kwa kutoa madai ya uongo katika kesi muhimu dhidi ya Fury

 

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA KUZIKWA KESHO JIJINI DAR

Aisha Madinda - enzi za uhai wake alipokuwa stejini. ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda aliyefariki jana asubuhi, atazikwa kesho mchana badala ya leo kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali. Mtoto wa kwanza marehemu, Feisal amesema kuwa polisi wamesema ni lazima mwili wa mama yake ufanyiwe upasuaji (postmortem) ili kujua chanzo cha kifo chake. Awali ndugu wa marehemu walisema hawahitaji Asha...

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MKE WA MWANAHABARI THOBIAS MWANAKATWE WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUZIKWA KARATU MKOANI MANYARA

 Mhariri wa Gazeti la Nipashe, Jesse Kwayu (kushoto), na waombolezaji wengine wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mke wa mwanahabari wa Kampuni ya The Guardian, Thobias Mwanakatwe, Levina Genda wakati wakilipekeka kwenye gari tayari kwa safari ya kwenda Karatu mkoani Manyara kwa mazishi yatakayofanyika kesho.Mwanahabari wa Kampuni ya The Guardin Ltd, Thobias Mwanakatwe akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa mke wake, Levina Genda wakati wa ibada ya kumuaga iliyofanyika...

 

9 years ago

GPL

MWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR, KUZIKWA MBEYA LEO‏

 Marehemu Mzee Anyosisye Mwakyusa enzi za uhai wake.  Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Anyosisye Mwakyusa, baba mzazi wa mwandishi mwandamizi wa gazeti la Jambo Leo, Peter Ambilikile, wakati wa ibada ya kumuombea iliyofanyika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ubungo Kibangu Dar es Salaam jana, kabla ya kuusafirisha kwenda mkoani Mbeya kwa mazishi yatakayofanyika leo.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Mwili wa Marehemu Gebbo Peter waagwa leo nyumbani kwake Vingunguti,Kuzikwa kijijini kwao Kigurunyembe mkoani Morogoro

Sehemu ya wachezaji mpira wa sasa na wazamani wakiwa wamesimama pembeni ya Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Simba miaka ya nyuma,Marehemu Gebbo Peter aliefariki jana kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.hapa wakiwa nyumbani kwake Vingunguti tayari kwa safari ya kwenda kwenye maziko yake Kigurunyembe mkoani Morogoro (Picha na Evance Ng'ingo)
Wadau mbali mbali wa soka wakiwemo viongozi wa soka wakipita kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani