MWILI WA MENEJA UHUSINO WA TTCL AMINI MBAGA WAAGWA DAR, KUZIKWA LEO SAME KILIMANJARO
Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Kamugisha Kazaura akitoa heshima za mwisho wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu, Amini Elias Mbaga iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza Kumekucha jijini Dar es Salaam.
Kwaya ikiimba nyimbo za maombolezo wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu Amini Elias Mbaga.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), marehemu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo16 Oct
Mwili wa Marehemu Amin Elias Mbaga Waagwa Dar
![Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiwasili Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam tayari kwa ibada ya kumuombea marehemu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0301.jpg)
![Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0306.jpg)
![Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0310.jpg)
![Mke na Watoto wa Marehemu Amin Elias Mbaga wakiwa katika ibada hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0334.jpg)
![Wanafamilia na familia ya Marehemu Amin Elias Mbaga wakishiriki misa ya kumuombea aliyekuwa mfanyakazi mwenzao, marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0331.jpg)
![Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wafanyakazi wote wa TTCL mara baada ya ibada hiyo iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0410.jpg)
10 years ago
MichuziMWILI WA MKE WA MWANAHABARI THOBIAS MWANAKATWE WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUZIKWA KARATU MKOANI MANYARA
9 years ago
GPLMWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR, KUZIKWA MBEYA LEO
10 years ago
Michuzi16 Oct
Mwili wa Marehemu Amin Elias Mbaga Waagwa jijini Dar
![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0301.jpg)
![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0306.jpg)
![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0410.jpg)
![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0419.jpg)
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M<simbazi Jijini Dar es Salaam leo.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya...
10 years ago
Michuzi12 Nov
MWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO KIPERA MOROGORO.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali,...
10 years ago
VijimamboMWILI WA MKE WA MWANAHABARI THOBIAS MWANAKATWE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KARATU MKOANI ARUSHA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_I19nvPA2_U/U5LWuwi80zI/AAAAAAAFoS8/CpX3WEU6W-Q/s72-c/Gebo+kuagwa+2.jpg)
Mwili wa Marehemu Gebbo Peter waagwa leo nyumbani kwake Vingunguti,Kuzikwa kijijini kwao Kigurunyembe mkoani Morogoro
![](http://2.bp.blogspot.com/-_I19nvPA2_U/U5LWuwi80zI/AAAAAAAFoS8/CpX3WEU6W-Q/s1600/Gebo+kuagwa+2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vqhnz2On3e8/U5LXEY1tDrI/AAAAAAAFoTs/rDBFcKbHCVs/s1600/gebo+kuwagwa+8.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4f7ggvZ2Nqc/U5LW0cuv8AI/AAAAAAAFoTI/3e3iEd3LKNs/s1600/gebo+kuagwa+3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-pR7fzHuKxrQ/U5LW5cGnJRI/AAAAAAAFoTU/i8FlWGZ1eoc/s1600/gebo+kuagwa+6.jpg)
10 years ago
GPLMWILI WA MFANYAKAZI WA GLOBAL, ROBERT TILLYA WAWASILI KILIMANJARO, KUZIKWA LEO