Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwili wa Marehemu Amin Elias Mbaga Waagwa jijini Dar

 Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiwasili Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam tayari kwa ibada ya kumuombea marehemu. Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wafanyakazi wote wa TTCL mara baada ya ibada hiyo iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mwili wa Marehemu Amin Elias Mbaga Waagwa Dar

Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiwasili Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam tayari kwa ibada ya kumuombea marehemu. Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiwasili Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam tayari kwa ibada ya kumuombea marehemu.Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani. Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani.Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani. Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani.Mke na Watoto wa Marehemu Amin Elias Mbaga wakiwa katika ibada hiyo. Mke na Watoto wa Marehemu Amin Elias Mbaga wakiwa katika ibada hiyo.Wanafamilia na familia ya Marehemu Amin Elias Mbaga wakishiriki misa ya kumuombea aliyekuwa mfanyakazi mwenzao, marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi. WanafamOfisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wafanyakazi wote wa TTCL mara baada ya ibada hiyo iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL)...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA MAREHEMU WILLIAM MGIMWA WAAGWA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk. William Mgimwa likiwa mbele ya waombolezaji. Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mama Salma wakiaga mwili wa marehemu Dk. Mgimwa.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro

Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M<simbazi Jijini Dar es Salaam leo.

Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya...

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO KIPERA MOROGORO.

Hili ndilo sanduku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M&lt;simbazi Jijini Dar es Salaam leo. 
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali,...

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MENEJA UHUSINO WA TTCL AMINI MBAGA WAAGWA DAR, KUZIKWA LEO SAME KILIMANJARO


Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Kamugisha Kazaura akitoa heshima za mwisho wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu, Amini Elias Mbaga iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza Kumekucha jijini Dar es Salaam.Kwaya ikiimba nyimbo za maombolezo wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu Amini Elias Mbaga. Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), marehemu...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA DK MGIMWA WAAGWA JIJINI DAR

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa enzi za uhai wake. Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa kwa sasa unaagwa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa maziko. Dk. Mgimwa alifariki dunia Januari 1 mwaka huu akiwa Hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. ...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA BALOZI FLOSSY WAAGWA JIJINI DAR

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu, Frossie Chiyaonga. (PICHA NA OMR) MAKAMU wa Rais, Dk. Gharib Bilal ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Flossy Gomile-Chidyaonga katika Ukumbi wa Mwl. Nyerere uliopo jijini Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa nje na ndani ya nchi...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA FIDELIS MANYOTA WAAGWA JIJINI DAR

Mhariri Mtendaji wa GPL, Richard Manyota akipewa pole na baadhi ya waombolezaji waliofika hospitali ya Temeke kuaga mwili wa marehemu Fidelis Manyota. Baadhi ya ndugu wakilia kwa huzuni.…

 

11 years ago

GPL

MWILI WA SISTA ALIYEPIGWA RISASI WAAGWA JIJINI DAR LEO

Masista wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa Sista Cresensia Kapuli aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi Juni 23, 2014. Sista Brigitte Mbaga aliyekuwa na marehemu Cresensia Kapuli eneo la tukio siku alipopigwa risasi akiwa na simanzi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani