MWILI WA DK MGIMWA WAAGWA JIJINI DAR
Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa enzi za uhai wake. Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa kwa sasa unaagwa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa maziko. Dk. Mgimwa alifariki dunia Januari 1 mwaka huu akiwa Hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMWILI WA MAREHEMU WILLIAM MGIMWA WAAGWA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR
11 years ago
GPLMWILI WA BALOZI FLOSSY WAAGWA JIJINI DAR
11 years ago
GPLMWILI WA FIDELIS MANYOTA WAAGWA JIJINI DAR
11 years ago
GPLMWILI WA SISTA ALIYEPIGWA RISASI WAAGWA JIJINI DAR LEO
10 years ago
Michuzi16 Oct
Mwili wa Marehemu Amin Elias Mbaga Waagwa jijini Dar
11 years ago
MichuziMWILI WA BALOZI FULGENCE KAZAURA WAAGWA LEO KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M<simbazi Jijini Dar es Salaam leo.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya...
10 years ago
Michuzi12 Nov
MWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO KIPERA MOROGORO.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali,...
10 years ago
VijimamboMWILI WA MKE WA MWANAHABARI THOBIAS MWANAKATWE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KARATU MKOANI ARUSHA
Hapa ni huzuni umetawala. Wafanyakazi wenzake na Thobias...