MWILI WA BALOZI FULGENCE KAZAURA WAAGWA LEO KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR

Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo.Picha zote na Othman Michuzi.
Viongozi wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MWILI WA BALOZI FULGENCE KAZAURA ULIVYOAGWA KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR
10 years ago
GPLMWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR, KUZIKWA MBEYA LEO
10 years ago
MichuziMWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM, MAZISHI YAKE KUFANYIKA MBEYA LEO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
11 years ago
GPL
MWILI WA BALOZI FLOSSY WAAGWA JIJINI DAR
9 years ago
Michuzi
RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA KRISMASI KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PETER JIJINI DAR ES SALAAM LEO



11 years ago
Michuzi25 Feb
MWILI WA BALOZI KAZAURA WAWASILI DAR KUTOKA INDIA LEO
Waombolezaji wakisukuma jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), marehemu Balozi Fulgence Kazaura ulipowasili jana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni hii , kutoka India. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akwafariji ndugu wa marehemu
Ndugu wakifunua jeneza kuutengeneza mwili wa marehemu Kazaura.
Mwili ukipakiwa kwenye gari tayari kupelekwa kuhifadhiwa...
11 years ago
GPLMWILI WA SISTA ALIYEPIGWA RISASI WAAGWA JIJINI DAR LEO
11 years ago
GPL
BALOZI FULGENCE KAZAURA AFARIKI DUNIA
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Mwili wa Balozi Kazaura kuwasili nchini leo