Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI FULGENCE KAZAURA AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Balozi Fulgence Kazaura enzi za uhai wake akimtunuku PhD Waziri wa ujenzi Dk. John Magufuli. Sima Kazaura anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Balozi Fulgence Kazaura aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam (UDSM) kilichotokea leo nchini India. Kama ilivyo ada kupeana mkondo wa pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu wakatio wa msiba hapa DMV. Msiba upo 21, Featherwood...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MASIBA DMV NA TANZANIA: Balozi Fulgence Kazaura afariki dunia

Balozi Fulgence Kazaura enzi ya uhani wake
Sima Kazaura anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Balozi Fulgence Kazaura kilichotokea leo nchini India. Kama ilivyo ada kupeana mkondo wa pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu wakatio wa msiba hapa DMV  Msiba upo  21, Featherwood Court Apt. 14 Silver Spring MD 20904 Tutazidi kuwajuza mambo yanavyoendelea katika msiba huu hapa DMV na nyumbani Tanzania.  Chini hapo ni namba ya mfiwa
Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Sima...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Balozi Kazaura afariki dunia

MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Flugenze Kazaura, amefariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Chennai nchini India. Taarifa ya kifo hicho imetolewa jana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Kazaura afariki dunia akitibiwa India

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura amefariki dunia juzi, Chenai, India alikokwenda kwa ajili ya matibabu.

 

11 years ago

GPL

MWILI WA BALOZI FULGENCE KAZAURA ULIVYOAGWA KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR

Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo. Viongozi wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence...

 

11 years ago

Michuzi

MWILI WA BALOZI FULGENCE KAZAURA WAAGWA LEO KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR

Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo.Picha zote na Othman Michuzi. Viongozi wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko...

 

11 years ago

BBCSwahili

Balozi wa Malawi afariki dunia Tanzania

Balozi wa Malawi nchini Tanzania Bi Flossie Gomile Chidyaonga amefariki dunia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam

 

11 years ago

GPL

TANZIA: BALOZI WA MALAWI NCHINI TANZANIA AFARIKI DUNIA

Flossy Gomile-Chidyaonga enzi za uhai wake. Balozi wa Malawi hapa nchini Tanzania, Flossy Gomile-Chidyaonga amefariki dunia baada ya kuugua kwa kipindi kifupi. Alikuwa balozi Tanzania tangu mwaka 2011. Rais Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Malawi Bi. Joyce Banda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani