Balozi Kazaura afariki dunia akitibiwa India
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Fulgence Kazaura amefariki dunia juzi, Chenai, India alikokwenda kwa ajili ya matibabu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Balozi Kazaura afariki dunia
MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Flugenze Kazaura, amefariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Chennai nchini India. Taarifa ya kifo hicho imetolewa jana na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fweuCOUfGgZOXeXZWM-K6l0NfGudPZioqwITk2GGaUhuZ3PPOHSHen*MgnqVFrUThGy8L69qlYIErmectvuukJqvNlYWEsT9/BALOZIKAZAURA.jpg?width=650)
BALOZI FULGENCE KAZAURA AFARIKI DUNIA
11 years ago
MichuziMASIBA DMV NA TANZANIA: Balozi Fulgence Kazaura afariki dunia
Sima Kazaura anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Balozi Fulgence Kazaura kilichotokea leo nchini India. Kama ilivyo ada kupeana mkondo wa pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu wakatio wa msiba hapa DMV Msiba upo 21, Featherwood Court Apt. 14 Silver Spring MD 20904 Tutazidi kuwajuza mambo yanavyoendelea katika msiba huu hapa DMV na nyumbani Tanzania. Chini hapo ni namba ya mfiwa
Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Sima...
11 years ago
Michuzi25 Feb
MWILI WA BALOZI KAZAURA WAWASILI DAR KUTOKA INDIA LEO
Waombolezaji wakisukuma jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), marehemu Balozi Fulgence Kazaura ulipowasili jana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni hii , kutoka India. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akwafariji ndugu wa marehemu
Ndugu wakifunua jeneza kuutengeneza mwili wa marehemu Kazaura.
Mwili ukipakiwa kwenye gari tayari kupelekwa kuhifadhiwa...
11 years ago
Habarileo20 Jan
Mke wa Lubuva afariki dunia India
MKE wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji mstaafu Damian Lubuva amefariki akiwa nchini India alikokuwa akitibiwa ugonjwa wa kisukari. Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi, Lubuva kutokana na kifo hicho cha Martha Lubuva kilichotokea Januari 17 katika Hospitali ya Apollo iliyopo New Delhi, India.
11 years ago
BBCSwahili17 Jan
Muigizaji Suchtra afariki dunia India
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Waziri Kigoda afariki dunia nchini India
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Lp7ZMpIVo9E/VDdqi26mHHI/AAAAAAAGo6A/hqYb7RJ7mEs/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
TANZIA: OMAR NDEGE MGORI AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Lp7ZMpIVo9E/VDdqi26mHHI/AAAAAAAGo6A/hqYb7RJ7mEs/s1600/unnamed%2B(40).jpg)
Kwa taraarifa zaidi wasiliana na :
0718066661 - Jaji Mgori0787523152 - Tumaini Mgori+199869103747 - Mohammed Mgori
9 years ago
Dewji Blog12 Oct
News Alert; Waziri Kigoda afariki dunia nchini India
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh Abdallah Kigoda (pichani) amefariki dunia jioni hii nchini India alikokuwa anapatiwa matibabu.
Taarifa za kifo cha Mh Kigoda ambaye pia alikuwa mbunge wa Handeni mkoani Tanga zimethibitishwa na ofisi ya Bunge jijini Dar es Salaam.
Mhe. Dkt. Kigoda alikwenda nchini India kwa matibabu tarehe 18 Septemba, 2015, kupata matibabu katika hospitali Hiyo ya Apollo. Taarifa zaidi kutolewa baadaye.
Modewji Blog inaungana na Familia ya Marehemu pamoja na Watanzania kwa...