RECHO KUZIKWA KESHO DAR
![](http://api.ning.com:80/files/MjUiWVyv*JKqcxa0WtKhSsN6xLWM9Cpsr*8EwEZdxiSYGF3EX1fW1-U2WGf8*kEGfeLBa-DA3tqPgVWVmIJb-seFuh7gfngC/RachelHaule539.jpg)
Marehemu Rachel Haule 'Recho' enzi za uhai wake. MSANII wa filamu Rachel Haule 'Recho' aliyefariki dunia siku ya jana atazikwa jijini Dar es Salamm siku ya kesho badala ya Songea kama ilivyopangwa hapo awali. Ratiba ya kuuaga mwili wa marehemu inabaki pale pale siku ya kesho Leaders Club na baadae kwenda kuzikwa katika makaburi ya Kinonondoni. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLAISHA MADINDA KUZIKWA KESHO JIJINI DAR
10 years ago
GPLAMIGOLAS KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KISUTU, DAR
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-lwx0yL657Lw/U4Bdp0qrbQI/AAAAAAAA61Q/Lyl7I4wG4OA/s72-c/Marehemu+Simon+Malosha.jpg)
MAREHEMU SIJAONA SIMON KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-lwx0yL657Lw/U4Bdp0qrbQI/AAAAAAAA61Q/Lyl7I4wG4OA/s1600/Marehemu+Simon+Malosha.jpg)
Mazishi yatafanyika jumapili tarehe 25/5/2014 saa tisa mchana katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Misa ya kumuaga marehemu na kutoa heshima za mwisho, itafanyika kwa Marehemu Sijaona magorofa ya Urafiki block QA.
Taarifa ziwafikie kaka yake mkubwa William Lukuba wa Nyakato...
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M<simbazi Jijini Dar es Salaam leo.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya...
10 years ago
Michuzi12 Nov
MWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO KIPERA MOROGORO.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali,...
11 years ago
CloudsFM29 May
RECHO HAULE KUZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
Mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu za Kibongo,Rachel Haule ambaye alifariki dunia mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar baada ya kujifungua ambapo mtoto wake alifariki muda mfupi na baadaye yeye akafariki,utaagwa leo katika viwanja vya Leaders kuanzia saa nne asubuhi sanjari na mwili wa mtoto wake na kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni,
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2AStWy5W0kg/U5rKT7EtTZI/AAAAAAAFqUs/MBF-1NBIe4g/s72-c/Bondia+Mkongwe+Iraki+Hudu(mwenye+miwani)+na+Mwanae+Dani+Hudu.jpg)
Tanzia: Bondia wa zamani iraq hudu afariki dunia leo, kuzikwa kesho kisutu Dar es salaam
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-01-Up8IqjEI/VgkYn-O2kHI/AAAAAAAD_BI/1e4lLIenKUY/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU CELINA KOMBANI, DAR, KUZIKWA KESHO MOROGORO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-01-Up8IqjEI/VgkYn-O2kHI/AAAAAAAD_BI/1e4lLIenKUY/s640/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-m_Tn3pSJJtU/VgkYn7E9YiI/AAAAAAAD_BQ/6xUUXwekPEw/s640/03.jpg)
10 years ago
CloudsFM02 Mar
marehemu Kapt.John Komba kuagwa leo katika viwanja vya karimjee ,Dar kuzikwa kwao kesho Nyasa