Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA LULU ATAMANI MWANAYE AFE TU!

Imelda Mtema
Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ ametoa kauli nzito yenye kushtua kwamba anatamani mwanaye huyo afe tu ili watu wanyamaze kumsemasema. Imemuuma sana! Lulu akiwa hoi nyumbani. YOTE HAYA KISA MITANDAO
Mama Lulu amefunguka hayo siku kadhaa baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mama Lulu Funguka Mambo Mazito Kuhusu Mwanaye!

Kufuatia kuandamwa na skendo za wanaume na kuchafuliwa kila siku, mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ ametoa kauli nzito yenye kushtua kwamba anatamani mwanaye huyo afe tu ili watu wanyamaze kumsemasema. Imemuuma sana!

Mama Lulu amefunguka hayo siku kadhaa baada ya mitandao ya kijamii kuchafuka kwa habari za binti yake na wanaume hasa wa watu huku mwenyewe (Lulu) akiwa nyumbani kwake Mbezi-Beach jijini Dar akiwa hana hili...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Atamani Kuimba Injili

Staa wa bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema anatamani sana siku moja  kuimba muziki wa injili kwa vile anacho kipaji cha uimbaji.

Staa huyo aliyasema hayo wakati akihojiwa  kwenye kipindi cha  televisheni cha The Sporah Show wiki hii.

“Napenda kuimba...nadhani naweza kuimba, napenda kama siku ikitokea nimekuwa muimbaji  niimbe gospel, napenda sana gospel" alisema Lulu.

Pia Lulu alisistiza kuwa yeye ni mtu mwenye hofu ya Mungu.

“I’m  God fearing  yaani namuogopa sana na...

 

9 years ago

Mtanzania

Mwigizaji Lulu atamani nafasi ya Dk Tulia Bungeni

IMG_5199NA MWANDISHI WETU

BAADA ya Dk Tulia kushinda nafasi ya Naibu Spika, mwigizaji mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael (Lulu) ameandika katika ukurasa wake wa Instagram akimpongeza kutokana na elimu yake ambayo anaamini ndiyo iliyompeleka katika nafasi hiyo ya Unaibu Spika.

“Kusoma kuzuri jamani, wakati wakina nanii wanaendelea kunyooshana Insta,  watu na elimu zao wananyoosha kwenye vyenye maana, dada Tulia hapo kanyoosha kwenye Unaibu Spika bila hata ya wigi wala ‘make up’, sema nami siko...

 

10 years ago

GPL

FAMILIA ZAAMUA BOBBI KRISTINA AFE SIKU ALIYOKUFA MAMA YAKE WHITNEY HOUSTON

Bobbi Kristina akiwa na mama yake mzazi, Whitney Houston enzi za uhai wake. FAMILIA za Bobby Brown na marehemu Whitney Houston zimekubaliana kumwondolea Bobbi Kristina mashine inayomsaidia kupumua kesho, Jumatano ili afe tarehe sawa na ile ambayo mama yake mzazi, Whitney Houston alifariki. Nick Gordon na Bobbi Kristina Brown. Mjukuu wa Bobbi, Cissy Houston alitoa wazo hilo la Februari 11 wakati wa majadiliano… ...

 

10 years ago

Vijimambo

FAMILIA ZAAMUA BOBBI KRISTINA AFE LEO JUMATANO SIKU ALIYOKUFA MAMA YAKE WHITNEY HOUSTON

Bobbi Kristina akiwa na mama yake mzazi, Whitney Houston enzi za uhai wake.
FAMILIA za Bobby Brown na marehemu Whitney Houston zimekubaliana kumwondolea Bobbi Kristina mashine inayomsaidia kupumua leo, Jumatano ili afe tarehe sawa na ile ambayo mama yake mzazi, Whitney Houston alifariki.

Mjukuu wa Bobbi, Cissy Houston alitoa wazo hilo la Februari 11 wakati wa majadiliano yaliyofanyika wikiendi iliyopita kati ya familia ya Whitney Houston na Bobby Brown kwenye Hospitali ya Chuo Kikuu cha Emory...

 

11 years ago

GPL

MAMA LULU, MAMA KANUMBA WAENDA KULA KIAPO

Stori: Mwandishi Wetu
ULE udugu wa ukubwani kati ya wazazi wa mastaa wa filamu Bongo, Lucresia Karugila ‘Mama Lulu’ na  Flora Mtegoa ‘Mama Kanumba’ umezidi kukua kufuatia kwenda Bukoba, Kagera kwa ajili ya kula kiapo cha kuimarisha undugu huo. Kutoka kushoto: Flora Mtegoa, Lulu na Lucresia Karugila katika pozi. Wazazi hao wawili walijikuta katika undugu kufuatia Elizabeth Michael...

 

11 years ago

GPL

MAMA MZAZI AMLIPUA MOTO MWANAYE

Stori: Makongoro Oging’
Dunia haina huruma! Mtoto Samwel Paulo (13), anayesoma darasa la nne Shule ya Msingi Amani wilayani Ilala, Dar, amelazwa wodi ya watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, akiendelea kuuguza majeraha yaliyotokana na kile kinachodaiwa ni kulipuliwa kwa moto na mama yake mzazi aliyetajwa kwa jina la Doricus Iganga. Mtoto Samwel Paulo akiwa hospital baada ya kufanyiwa kitendo cha kinyama na mama...

 

10 years ago

GPL

MAMA ALAZIMISHA MWANAYE ATOKE NA HAMILTON

Mama mzazi wa modo na mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With the Kardashians, Kendall Jenner, Kris Jenner. Monaco, Ufaransa
MAMA mzazi wa modo na mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With the Kardashians, Kendall Jenner, Kris Jenner, amempigia debe mwanaye kwa muendesha magari ya langalanga ‘The Formula 1’, Lewis Hamilton. Modo na mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With the Kardashians, Kendall Jenner akiwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani