Lulu Atamani Kuimba Injili
Staa wa bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema anatamani sana siku moja kuimba muziki wa injili kwa vile anacho kipaji cha uimbaji.
Staa huyo aliyasema hayo wakati akihojiwa kwenye kipindi cha televisheni cha The Sporah Show wiki hii.
“Napenda kuimba...nadhani naweza kuimba, napenda kama siku ikitokea nimekuwa muimbaji niimbe gospel, napenda sana gospel" alisema Lulu.
Pia Lulu alisistiza kuwa yeye ni mtu mwenye hofu ya Mungu.
“I’m God fearing yaani namuogopa sana na...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpHDkPsqpeUVJog-QPpioW8wCIHTJOKkm2GbwcuxKsiuoEDdY6qMB4nZykMKOAMb-0J7WZDzMgZkRaaz24cqcRil/mai.jpg?width=650)
MAINDA AGEUKIA KUIMBA INJILI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo6H5ZG64yCbDkv8OvcGWOIn-HGkw6ZehzCZTbLJPhGwyYdFQF8YTbAnPDEGMX7pJh4-ttz9os1h6eyIi7sFCGlX/fghhhh.gif?width=650)
MAMA LULU ATAMANI MWANAYE AFE TU!
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Mwigizaji Lulu atamani nafasi ya Dk Tulia Bungeni
NA MWANDISHI WETU
BAADA ya Dk Tulia kushinda nafasi ya Naibu Spika, mwigizaji mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael (Lulu) ameandika katika ukurasa wake wa Instagram akimpongeza kutokana na elimu yake ambayo anaamini ndiyo iliyompeleka katika nafasi hiyo ya Unaibu Spika.
“Kusoma kuzuri jamani, wakati wakina nanii wanaendelea kunyooshana Insta, watu na elimu zao wananyoosha kwenye vyenye maana, dada Tulia hapo kanyoosha kwenye Unaibu Spika bila hata ya wigi wala ‘make up’, sema nami siko...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZeJXxZIhiVyQb*grZjTC*jzu-VALw0e5-smbnNXBY3Ezl82Vyc70yk4K8PPFaIpFRdhuq-sjDb36-PL258hEynj/ANTI.jpg)
AUNTY ATAMANI KUZAA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZbU7afPnaG4t12G-qjcGayCeOBsixNEqQj1tOx6nStnvEFK9Lj-MIyOMCqEB-wGgxOik00Zwbmigvn1BARlFZ-z/diamond.jpg?width=650)
DIAMOND ATAMANI USHOGA!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60esFFMuqpM4kBHEF*f6AJALfdQplSXdOOYOcWGK9KKnUET*7HZKgiup*WEBQ1Nu*SiWdbn*tjBYkaGGcbI6t1T1R/wastara.jpg?width=650)
WASTARA ATESEKA, ATAMANI KUUA!
10 years ago
Mtanzania30 May
Pinda atamani sheria ya wosia
Jonas Mushi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuna haja ya kuwa na sheria itakayowezesha uandikishaji wosia kuwa wa lazima ili kuondokana na migogoro ya kugombania mali za marehemu na unyanyasaji wa wajane na watoto.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, katika maadhimisho ya miaka 25 ya Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na uzinduzi wa kampeni ya uandishi wa wosia.
Alisema migogoro hiyo kwa kiasi kikubwa inaathiri wanawake na watoto pindi wazazi...