DIAMOND ATAMANI USHOGA!

NYOTA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewashangaza watu kufuatia kuvaa wigi (nywele bandia) la mpenzi wake, Wema Isaac Sepetu, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni dalili ya kutamani mambo ya ushoga. Diamond alinaswa akiwa amevaa wigi hilo kichwani kisha kupiga nalo picha. ILIVYOKUWA Hivi karibuni, Diamond alinaswa akiwa amevaa wigi hilo kichwani kisha kupiga nalo picha huku Wema akilitafuta ili...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Diamond atamani kuzaa na Wema
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’, amesema anatamani kuwa na mtoto ili aweze kwenda sawa na wasanii wengine na angependa mpenzi wake Wema Sepetu ndiye...
11 years ago
GPL
BABY MADAHA ATAMANI PENZI LA WEMA, DIAMOND
10 years ago
Mtanzania19 Aug
Fid Q atamani kuvunja rekodi ya mtoto wa Diamond
NA VICTORIA PATRIC (TSJ)
MSANII wa hip hop, Farid Kubanda (Fid Q), ametamani kuwa na wafuatiliaji wengi katika akaunti yake mpya kama atashindwa kuirudisha akaunti yake ya sasa iliyozuiwa na maharamia wa mtandao.
Akaunti ya msanii huyo kwa sasa inasomeka kwa jina la mrembo wa Tanzania 2007, Wema Sepetu, jambo ambalo linachanganya watu wengi.
“Hawa jamaa wanakatisha tamaa maana mimi nilikuwa natumia mtandao wangu kwa kujitangaza, kutangaza kazi zangu mpya na pia kuwasiliana na wadau wangu...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Kinachochochea ushoga kijamii
11 years ago
Habarileo10 Apr
NGO ya ushoga yafutwa
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imelifutia usajili Shirika la Tanzania Sisi kwa Sisi Foundation (TSSF), kwa tuhuma ya kujihusisha na kuhamasisha ushoga nchini.
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Muswada kupinga ushoga
11 years ago
GPL
AUNTY ATAMANI KUZAA
11 years ago
Mtanzania02 Aug
Mahakama yaruhusu ushoga Uganda

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni
KAMPALA, Uganda
MAHAKAMA ya Kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja, ambayo ilisababisha mataifa kadhaa ya magharibi kuinyima misaada.
Sheria hiyo ilizua mjadala si tu nchini Uganda bali kote duniani, kiasi cha kuyafanya mataifa ya magharibi yalazimike kuingilia kati.
Mahakama ilisema muswada uliopitishwa kabla ya kuidhinishwa na rais kuwa sheria ulipitishwa na wabunge ambao idadi yao haikutosha kuupitisha na kwa hivyo...
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Maaskofu wakataa ushoga Uingereza