BABY MADAHA ATAMANI PENZI LA WEMA, DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/zLSzH-96bg-6YNueAsQHgfmhtBMV2lRadmvVc4wYETTY-IKwfFjhNUmZfcM74froyz9U-ZLLJJ-B0IG1H1qksXqpwcOYDp0u/baby.jpg)
Stori: Imelda Mtema MWANAMUZIKI mwenye vituko kila kukicha Bongo, Baby Joseph Madaha, ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kuwa kila kukicha anayatamani mapenzi ya Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kama angekuwa yeye. Mwanamuziki mwenye vituko kila kukicha Bongo, Baby Joseph Madaha akipozi. Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema kuwa kila akiwaona Wema na Diamond anatamani sana na yeye awe...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Baby Madaha atamani mtoto
NA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto. Akizungumza na MTANZANIA jana, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha. Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6ZBoDYTzJR*zSls3KsMqAzN9B96KhNSIm4s3hgytLkbywntnHDII5fJUn3qG*GohgF2uUPgaSap3oMSHo5nJJaY/JOHARI.jpg?width=650)
BABY MADAHA: SIJAMPA PENZI MPENZI WANGU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-1vLwRrZYY9y-v0Viwmt6dgHWVzbgLoGCPnHceY2qdUvSauq5TLHj*yHH*3c-wt8JuVO4PNH3W5-XOLDaO7gcVZ/baby.jpg?width=650)
BABY MADAHA AKOLEZWA NA PENZI LA MENEJA WAKE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R1kSp2CDEW8ekiUTvI2iKNGFBOKGLZspxsNDps40l5-z0ulwCdmi*dkEWlpUMlRHRfUsJGgQ4hJoEHzh5k4-FeW/babymadaha.jpg?width=650)
BABY MADAHA AMSHIKA UCHAWI DIAMOND
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPxMvvfAs45CfTaWLXF-y8-gGrTuGHvHIDsQcvaar4tW0eFN-xviz6qzzt-OxfnONi346XMigtGLRZXk5FR*AbnM/madaha.jpg?width=650)
BABY MADAHA: DIAMOND HANIWEZI, AWATISHIE WATOTO TANDALE
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Diamond atamani kuzaa na Wema
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’, amesema anatamani kuwa na mtoto ili aweze kwenda sawa na wasanii wengine na angependa mpenzi wake Wema Sepetu ndiye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4hNukqhfhE1hGEOvWgFn1c3yvCDFin9oYKmxFJToh03wTOmRQYkC9vNf9V2jA3YX0xAIhxKalhgEh3So7FKqM8-hCmtBqt9L/FRONTAMANI.jpg)
DIAMOND ATESEKA NA PENZI LA WEMA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtpVyu5KXYRazgP8cqNWOCjKZG5c9cMAeZFHB9oIbwQYtH4zrVEhsNozudA65Lz8pLke70JqCD-3v*DkEmip5Q6x/UCHAWI.jpg?width=650)
PENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0tgqoPztJ6LKlX-Ctfl2I-P4QjvwtLSSuUaMaogiVKBbPCODHqzMB89DMmL-6K0cRJF4vKLAlHH67vMHh4qr*ktw/AUNT.jpg)
AUNT ALIANGUSHIA MAOMBI PENZI LA DIAMOND, WEMA