BABY MADAHA: SIJAMPA PENZI MPENZI WANGU
![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6ZBoDYTzJR*zSls3KsMqAzN9B96KhNSIm4s3hgytLkbywntnHDII5fJUn3qG*GohgF2uUPgaSap3oMSHo5nJJaY/JOHARI.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Baby Madaha amesema tangu aanzishe uhusiano wa kimapenzi na meneja wake, Joe Kariuki hajawahi kukutana naye kimwili. Staa wa filamu Bongo, Baby Madaha Baby alisema wamejiwekea malengo kwani tendo hilo lina muda wake, haina haja ya kukurupuka.“Umri umeenda lazima niwe mtu mwenye msimamo si kila mwanaume nitayekuwa naye nitamvulia nguo, nitafanya hivyo muda ukifika,â€...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-1vLwRrZYY9y-v0Viwmt6dgHWVzbgLoGCPnHceY2qdUvSauq5TLHj*yHH*3c-wt8JuVO4PNH3W5-XOLDaO7gcVZ/baby.jpg?width=650)
BABY MADAHA AKOLEZWA NA PENZI LA MENEJA WAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zLSzH-96bg-6YNueAsQHgfmhtBMV2lRadmvVc4wYETTY-IKwfFjhNUmZfcM74froyz9U-ZLLJJ-B0IG1H1qksXqpwcOYDp0u/baby.jpg)
BABY MADAHA ATAMANI PENZI LA WEMA, DIAMOND
10 years ago
Bongo Movies27 Jan
Faiza: Sipendi Kumuita Mpenzi Wangu “Baby” Napenda Kumuita...
Mwigizaji mrembo wa filamu hapa Bongo,Faiza Ally ameyasema hayo iliwa ni maoni yake juu ya swala la wapenzi kuitana baby.
“Leo kuna wakati nilikua nasikiliza Clouds fm nika sikia kuna wanaume hawapendi kuitwa baby!! wanahisi ni fake na wanaibiwa, kusema kweli mimi binafsi sipendi kumuita mwanaume mzima na akili zake na ndevu zake eti baby siwezi kutamka kwa sababu naona fake na mm mwenyewe sipendi kuitwa baby , kuna majina Mengi Kama honey ,darling mpenzi ni sawa japo mimi siyatumii pia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55I7ZlFg1qyxYmxm997bDtMCrfjr**5A8IjAerXx*xDFx9X7avQ-yCqomGic-nbEYiblsZ3UEwMyLKhkKCTnAzrV/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA
11 years ago
Michuzi11 Feb
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJAkpYW*qkqn1yJYTcBx7y*Csoh8CsJJeO1ywdjtipA4496P3FY0DN2VNgHebGVNDrZVLC47Q3mvnvDfA9tQJX4m/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA AUMBUKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QfDS7z72QT0FfVBe7jmds2qNwCFvrMcclbw*ReRFdb0uxCJYQiOlq2ubuaIqxnilcFB8TG7FwjugqUuT3xt5xck/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*whl3J3XpWRgFndkAowTFxpJVDy55TNN4c9C-CQwH1XEzXRLmMu1vxQ2GJZI58ZVhstSu3JwzM5x3bLKBp7YcKILpEskg4Aa/madaha.jpg?width=650)
NJAA YAMLIZA BABY MADAHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pXWI1kxUZH7Sg8atPnA1hfwE0waUvSaQYtrIcwhyo3NQ74KP0RnbBdqfKg8noH0FLNJ4ZFm*MF*YdOLaZKOWnxmjDzAXsvmX/madaha.jpg?width=650)
BABY MADAHA NUSU ABAKWE