Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Faiza: Sipendi Kumuita Mpenzi Wangu “Baby” Napenda Kumuita...

Mwigizaji mrembo wa filamu hapa Bongo,Faiza Ally ameyasema hayo iliwa ni maoni yake juu ya swala la wapenzi kuitana baby.

“Leo kuna wakati nilikua nasikiliza Clouds fm nika sikia kuna wanaume hawapendi kuitwa baby!! wanahisi ni fake na wanaibiwa, kusema kweli mimi binafsi sipendi kumuita mwanaume mzima na akili zake na ndevu zake eti baby siwezi kutamka kwa sababu naona fake na mm mwenyewe sipendi kuitwa baby , kuna majina Mengi Kama honey ,darling mpenzi ni sawa japo mimi siyatumii pia...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UNAKAZANA KUMUITA MUMEO ‘BABY’, VIPI HILI LA KUMUOGESHA?

Ni wiki nyingine tulivu tunakutana tena kupitia safu hii namba moja kwa kuandika makala zinazogusa maisha yetu ya kimapenzi. Ni matumaini yangu kuwa umzima na unaendelea vyema na mihangaiko yako ya kila siku ikiwa ni katika kujihakikishia maisha ya furaha na amani. Mpenzi msomaji wangu, wiki hii nitazungumzia mambo ambayo baadhi ya watu walio kwenye uhusiano huona kuyafanya wakiwa na wapenzi wao ni ushamba bila kujua faida...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA: SIJAMPA PENZI MPENZI WANGU

Stori: Mayasa Mariwata STAA wa filamu Bongo, Baby Madaha amesema tangu aanzishe uhusiano wa kimapenzi na meneja wake, Joe Kariuki hajawahi kukutana naye kimwili. Staa wa filamu Bongo, Baby Madaha Baby alisema wamejiwekea malengo kwani tendo hilo lina muda wake, haina haja ya kukurupuka.“Umri umeenda lazima niwe mtu mwenye msimamo si kila mwanaume nitayekuwa naye nitamvulia nguo, nitafanya hivyo muda ukifika,”...

 

10 years ago

Bongo5

Mwasiti amkana Misago, ni baada ya Diamond kumuita ‘muke halali ya Sam’

Mwasiti Almas amezungumzia salamu ya pongezi aliyopewa na Diamond Platnumz jana kwenye siku yake ya kuzaliwa iliyovumbua uhusiano usiojulikana kati yake na mtangazaji wa Power Jams ya EA Radio, Sam Misago. Katika salamu hizo, Diamond aliandika: Happy Birthday Chitty… muke halali ya @Sammisago.” Hata hivyo Mwasiti amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Misago. “Diamond […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu azua gumzo kwenye mtandao baada ya kumuita Diamond "kaka"

Huku macho na masikio ya wananchi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yakiwa kwenye bunge la katiba linalojadili lile sakata la tegeta ESCROW, mwanadada Wema sepetu ameamua naye kuzua gumzo kwenye mtandao baada ya kutoa salamu ya pongezi kwa kijana Naseeb al maarufu kama Chibu dangote ama Diamond platnumz kwa ushindi wake wa tuzo 3 kwenye tuzo za Channel O MUSIC AWARDS zilizofanyika huko Afrika ya kusini akitumia neno KAKA katika sentensi yake kitu ambacho kimezua minong’ono ya hapa na pale...

 

5 years ago

BBCSwahili

Imran Khan akosolewa baada ya kumuita Osama Bin Laden mfiadini (shahidi)

Upinzani Pakistan wamkaba koo Imran Khan, ambaye amesemakuwa Marekani ilimuua aliyetekeleza mauaji ya 9/11.

 

5 years ago

BBCSwahili

Viusi vya corona: Runinga ya Citizen nchini Kenya yasikitika kumuita rais Magufuli 'mkaidi'

Ripoti hiyo ya runinga ya Citizen iliopeperushwa hewani tarehe 22 mwezi Machi , bwana Magufuli alinukuliwa akisema kwamba mlipuko wa virusi vya Covid-19 haufai kutumiwa kama sababu ya kuathiri uchumi wa Tanzania.

 

9 years ago

Bongo5

Swizz Beatz ampongeza Diamond kwa kumuita ‘King’ baada ya kushinda tuzo za MTV EMA, soma pongezi za mastaa wengine hapa

Diamond ameutafuna mfupa uliowashinda wengi. Hakuna msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki, Magharibi na Kusini aliyewahi kushinda kipengele cha Worldwide Act, Africa/India kwenye tuzo za MTV EMA. Ushindi huo mkubwa unaomfanya sasa awe msanii namba moja Afrika. “Hii sio tunzo yangu ni tunzo ya wewe na mimi maana bila kura yako nisingeweza kabisa kushinda,” anasema Diamond. […]

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu: Napenda Kuangalia ‘Utumbo’ Wangu Kama Huu

Nime Mute hii Video kwa Sababu Maalum Mara nyingi Huwa napenda kuangalia utumbo wangu Kama huu nikiona kuna watu wanajifanya wamevurugwaaa unavurugwa Leo 2015 kweli!?

Watu tulishakuwa machizi yani mpk milembe tuna Gate pass ya bure, sema inafika pahala unajitambua na unaona hakuna faida ya kubaki ulipowahi kuwa...sasa mnavyojifanya mmevurugwa sio kama hatuwaoni...tunawaona sana sema tunaamua kuwa wajinga coz tumeshatoka huko mlipo..!
Between....huyo hairstyle lazima ni ya mchepuko wa Baba...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu:Napenda Zaidi Ushauri au Maoni Kuhusu Kazi Zangu Na Sio Mwili Wangu

Mwigizaji  wa filamu, Elizabeth Michael“Lulu”ameyasema haya akiwa “GYM” anafanya mazoezi.

“Hii ni Kwa ndugu,jamaa,marafiki na mashabiki....!
Ningependa zaidi kupokea maoni Au ushauri juu Ya kazi zangu(filamu)nifanye nn,niongeze Nn au nipunguze nn....ushauri wa Mwili WANGU ninaomba mniachie mimi na Doctor pengine....mana tunapoelekea kuna watu mtatupangia mpaka style za kulala vitandani,hamshindwi kusema kwasababu Wewe Kioo cha jamii ukilala chali haipendezi “ Lulu alimaliza.

Wengi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani