Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABY MADAHA: DIAMOND HANIWEZI, AWATISHIE WATOTO TANDALE

Baby Joseph Madaha akipozi na Nasibu Abdul ‘Diamond’. MWIGIZAJI na mwanamuziki Bongo, Baby Joseph Madaha amemchana Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kumwambia awatishie watoto wa Tandale kwani hana ubavu wa kuchuana naye. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz'. Akizungumza na paparazi wetu, Baby alifunguka kuwa anamshangaa Diamond kujibu kuhusu jinsi alivyomchana wiki kadhaa zilizopita gazetini na kusema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BABY MADAHA AMSHIKA UCHAWI DIAMOND

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ‘amemshika uchawi’ msanii mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kufuatia madai kuwa, kuna msanii maarufu Bongo alikwenda kwa mganga wa kienyeji Tanga akitaka kumfanyizia ‘madongoloji’ mrembo huyo ili mambo yake yaende ndivyo sivyo. Baby Joseph Madaha. ILIKUWAJE KWANI?
Desemba 22, mwaka jana, mtu mmoja aliyedai ni sangoma...

 

10 years ago

GPL

BABY MADAHA ATAMANI PENZI LA WEMA, DIAMOND

Stori: Imelda Mtema
MWANAMUZIKI mwenye vituko kila kukicha Bongo,  Baby Joseph Madaha, ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kuwa kila kukicha anayatamani mapenzi ya Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kama angekuwa yeye. Mwanamuziki mwenye vituko kila kukicha Bongo,  Baby Joseph Madaha akipozi. Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema kuwa kila akiwaona Wema na Diamond anatamani sana na yeye awe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baby Madaha: Diamond wa hapa hapa

MWANADADA anayetamba kimataifa kupitia kazi zake, Baby Joseph ‘Baby Madaha’, amedai mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ hamuwezi kwa lolote kwani yeye yupo kimataifa zaidi....

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA

Baby Joseph Madah. Na Waandishi Wetu AMA kweli maovu yanazidi kuongezeka, shetani naye mbioni siku zote kunasa waliyo wake, kauli hizo zote ziko sambamba na staa wa sinema za Kibongo na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Baby Joseph Madaha amenaswa baada kuingia mkenge mtego wa kujiuza, Ijumaa limesheheni. Kumekuwa na skendo kuwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo hujihusisha na biashara ya kujiuza ili kujipatia kipato na kufanya...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!

Stori:   Mwandishi Wetu
Jambo limezua jambo! Ile skandali ya kunaswa baada ya kuingia mkenge kwenye mtego wa kujiuza imemtokea puani staa wa sinema na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ambaye amekiri kuumbuka.
Habari hiyo iliruka hewani kwenye gazeti dada la hili, Ijumaa wiki iliyopita toleo namba 862 la Januari 17 hadi 23 likiwa na kichwa cha habari ‘BABY MADAHA ANASA MTEGO WA KUJIUZA. SAFARINI
Ilielezwa kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

BABY MADAHA AUMBUKA

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendelea kukomaa katika gemu kwa kuachia kazi mpya na kuandaa matamasha mbali mbali. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha akiwa kwenye pozi. Msanii huyo alitoa uamuzi huo kwa madai kuwa alichoshwa na skendo za kila kukicha ambazo...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA ANASWA AKIJIPODOA

Baby Madaha akijipodoa tayari kurekodi video ya wimbo wake wa Nawaponda. Meneja wa Baby Madaha, Joe Kariuki (kulia) akijadiliana jambo na muongozaji wa video hiyo. MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha jana alinaswa na kamera zetu akijipodoa bila kuogopa wala kujali…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baby Madaha amsaka Mtitu

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Baby Madaha kwa wiki moja sasa amekuwa akimsaka Mkurugenzi wa kampuni ya 5 Effects, William Mtitu ili amkabidhi ‘muvi’ yake mpya inayokwenda kwa jina la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani