Baby Madaha: Diamond wa hapa hapa
MWANADADA anayetamba kimataifa kupitia kazi zake, Baby Joseph ‘Baby Madaha’, amedai mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ hamuwezi kwa lolote kwani yeye yupo kimataifa zaidi....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo23 Mar
HAPA HUDDAH HAPA ZARI BILA DIAMOND HUKO KENYA KULIKONI









11 years ago
GPL
BABY MADAHA AMSHIKA UCHAWI DIAMOND
Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ‘amemshika uchawi’ msanii mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kufuatia madai kuwa, kuna msanii maarufu Bongo alikwenda kwa mganga wa kienyeji Tanga akitaka kumfanyizia ‘madongoloji’ mrembo huyo ili mambo yake yaende ndivyo sivyo. Baby Joseph Madaha. ILIKUWAJE KWANI?
Desemba 22, mwaka jana, mtu mmoja aliyedai ni sangoma...
11 years ago
GPL
BABY MADAHA ATAMANI PENZI LA WEMA, DIAMOND
Stori: Imelda Mtema
MWANAMUZIKI mwenye vituko kila kukicha Bongo, Baby Joseph Madaha, ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kuwa kila kukicha anayatamani mapenzi ya Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kama angekuwa yeye. Mwanamuziki mwenye vituko kila kukicha Bongo, Baby Joseph Madaha akipozi. Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema kuwa kila akiwaona Wema na Diamond anatamani sana na yeye awe...
11 years ago
GPL
BABY MADAHA: DIAMOND HANIWEZI, AWATISHIE WATOTO TANDALE
Baby Joseph Madaha akipozi na Nasibu Abdul ‘Diamond’. MWIGIZAJI na mwanamuziki Bongo, Baby Joseph Madaha amemchana Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kumwambia awatishie watoto wa Tandale kwani hana ubavu wa kuchuana naye. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz'. Akizungumza na paparazi wetu, Baby alifunguka kuwa anamshangaa Diamond kujibu kuhusu jinsi alivyomchana wiki kadhaa zilizopita gazetini na kusema...
10 years ago
Michuzi11 Jul
10 years ago
Vijimambo
PICHA 5 ZA USHAHIDI KUWA MAGUFULI HAKAMATIKI HIZI HAPA ONA LIVE DODOMA HAPA!!

Dr Magufuli ndiyo habari ya mjini hii ni ndani ya Dodoma na kutoa ujumbe wakusema kuwa Wafanyakazi wazembe,Nitalala nao mbeleeeeee




10 years ago
Mwananchi26 Apr
Kiba, Diamond mtonyo uko hapa
Wanadai hawajagombana, lakini kama utawasikiliza kwa makini wanapozungumzia tetesi kwamba wana tofauti, utagundua kitu kati yao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania