DIAMOND ATESEKA NA PENZI LA WEMA!
![](http://api.ning.com:80/files/4hNukqhfhE1hGEOvWgFn1c3yvCDFin9oYKmxFJToh03wTOmRQYkC9vNf9V2jA3YX0xAIhxKalhgEh3So7FKqM8-hCmtBqt9L/FRONTAMANI.jpg)
Stori: Richard Bukos Imebumburuka kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’ kumbe anateseka na penzi la mwandani wake, Beautiful Onyinye Wema Isaac Sepetu, Amani lina mkanda kamili. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’ akwa ameshika gauni la mpenzi wake. YATOKANAYO Kwa muda mrefu kumekuwa na madai kuwa, Diamond amekuwa akiumia na kuvumilia anapoitwa majina mabaya huku...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtpVyu5KXYRazgP8cqNWOCjKZG5c9cMAeZFHB9oIbwQYtH4zrVEhsNozudA65Lz8pLke70JqCD-3v*DkEmip5Q6x/UCHAWI.jpg?width=650)
PENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0tgqoPztJ6LKlX-Ctfl2I-P4QjvwtLSSuUaMaogiVKBbPCODHqzMB89DMmL-6K0cRJF4vKLAlHH67vMHh4qr*ktw/AUNT.jpg)
AUNT ALIANGUSHIA MAOMBI PENZI LA DIAMOND, WEMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zLSzH-96bg-6YNueAsQHgfmhtBMV2lRadmvVc4wYETTY-IKwfFjhNUmZfcM74froyz9U-ZLLJJ-B0IG1H1qksXqpwcOYDp0u/baby.jpg)
BABY MADAHA ATAMANI PENZI LA WEMA, DIAMOND
10 years ago
Bongo Movies13 Jan
Mfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na Diamond. Ni tajiri balaaa!
INA Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.
Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.
Uhusiano...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El9rOWZ*OroLE7jpGrI8s86oNAnQmAhwkeO3mwRuivOc13b3Uq-xFJ9sFcHoN9mi3MiVZ*V6GJgZ43aFQzEZt2l*/a.jpg?width=650)
DIMPOZ ANOGEWA NA PENZI LA WEMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsul0NRoB9eJSou4Jamh2a*LppQ2ilXwYGn-wKNp6aq1gphbjF8s56X-5liKSsNebmB6phrADKhNTcJIphQsCYQpd/wema.jpg)
MZUNGU AINGILIA PENZI LA WEMA
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
Ommy Dimpoz Anogewa na Penzi la Wema!
Mahaba: Mwanamuziki Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ameamua kukiri wazi kuwa ananogewa na penzi la Wema Sepetu ‘Madame’.
Akizungumza na wa GPL Februari 11, mwaka huu maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Dimpoz alisema anawashangaa sana watu kuendelea kumsakama juu ya uhusiano wake na Madame wakati yeye anafahamu shemeji yake kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni Zarina Hassan ‘Zari’ kwa sasa.
“Nashindwa kuelewa kuna watu wamekuwa wakinitumia ujumbe eti Diamond atanimaindi kwa ukaribu wangu na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BDlvIDeZhzhwwM1Gi1ltoVLVnGqsYX-8DK*V9miF2pYVv79T7dvGLh0YY0xGv3nBESTdMe5w5Fqu8gqeRFgFh5E6GI8QhM8e/frontpagewikienda.gif?width=650)
NUH AMUOMBA WEMA PENZI, SHILOLE AZIMIA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cGEsfZahF3s6kqtPkHzqYoXXqs3pH0zLq9*JsXXMxYjDY33qokYDzIcqj1RQR01Lyrjh7RhjexO2iQ3xvCZLZddy2F-hqsxe/Wemaa.jpg)
PENZI LAKE NA WEMA ,KUMBE DIMPOZ BOYA TU