PENZI LAKE NA WEMA ,KUMBE DIMPOZ BOYA TU
![](http://api.ning.com:80/files/cGEsfZahF3s6kqtPkHzqYoXXqs3pH0zLq9*JsXXMxYjDY33qokYDzIcqj1RQR01Lyrjh7RhjexO2iQ3xvCZLZddy2F-hqsxe/Wemaa.jpg)
Stori: Musa mateja HABARI ya mjini ni kwamba, lile penzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula vinono, Risasi Jumamosi limetonywa. Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ akiwa na mwigizaji Wema...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El9rOWZ*OroLE7jpGrI8s86oNAnQmAhwkeO3mwRuivOc13b3Uq-xFJ9sFcHoN9mi3MiVZ*V6GJgZ43aFQzEZt2l*/a.jpg?width=650)
DIMPOZ ANOGEWA NA PENZI LA WEMA
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
Ommy Dimpoz Anogewa na Penzi la Wema!
Mahaba: Mwanamuziki Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ameamua kukiri wazi kuwa ananogewa na penzi la Wema Sepetu ‘Madame’.
Akizungumza na wa GPL Februari 11, mwaka huu maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Dimpoz alisema anawashangaa sana watu kuendelea kumsakama juu ya uhusiano wake na Madame wakati yeye anafahamu shemeji yake kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni Zarina Hassan ‘Zari’ kwa sasa.
“Nashindwa kuelewa kuna watu wamekuwa wakinitumia ujumbe eti Diamond atanimaindi kwa ukaribu wangu na...
10 years ago
Bongo Movies07 Feb
Penzi la Wema na Ommy Dimpoz, lawa dhahili, wapiga picha wakiwa bafuni usiku!!
Ukiona manyoa?!!! Hatimaye zile tetesi na hisia za kwamba mwaigizaji Wema Sepetu na msanii wa muziki Ommy Dimpoz kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi zime kuwa kweli kwa zaidi ya asilimia 99, hii kutona na picha waliopiga jana usiku wakiwa bafuni huku wema akiwa amevalia taulo “flan amazing” huku kijana Ommy akionekana kwa mbaliii kama ananawa mikono.
Picha hii iliamsha watu kibao usiku wa jana hasa wale Team Wema kindakindaki..kwani comments na likes zilivyo tiririka utazana picha imewekwa...
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
PICHA:Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz lazidi kuchanua, Watupia picha wakiwa kitandani!!
Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.
Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo...
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xbc0vWPYETu91hjBVUxNH0*70Q7ec8Z8KEjBpIfY0mddpmO3vD38teQCNm1*BUKa4NiwjHbufcgYJUFKlQNwDVRDO1lQzpjQ/BACKAMANI.jpg)
KUMBE GARI LA WEMA KIMEO
10 years ago
Mwananchi22 Feb
JACK PENTEZEL: Awajia juu wafitini wa penzi lake
9 years ago
Bongo507 Oct
Linah adai penzi lake na Mganda ni imara zaidi ya saruji
9 years ago
Bongo Movies02 Nov
Aunt Ezekiel Awapa Makavu Wanaoponda Penzi Lake na Baba Cookie
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ ambaye amezaa na mcheza shoo wa msanii Diamond Platnumz, Moses Iyobo amewapa makavu wale wote wanaodani kuwa amepotea kwa kitendo chake cha kuzaa na mcheza shoo huyo.
Kupitia ukurasa wake mtandaon, Aunt aliweka picha hiyo hapo juu ya Iyobo na kuandika haya.
“Kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani nyinyi na Maboss wenu mimi na Dancer wangu wote tunatembelea makalio pumbavuu kaza buti Dady Cookie wangu nakupenda hvyohvyo.....”
Ujumbe...