Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMBE GARI LA WEMA KIMEO

Musa mateja
NInoma! Kumbe lile gari la kifahari aina ya BMW ambalo muigizaji nyota wa filamu Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ alizawadiwa wakati wa bethidei yake na kuwa miongoni mwa sababu za kumwagana na mpenzi wake wa awali, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ mwaka jana, linadaiwa kuwa kimeo kwa vile limekuwa likiharibika mara kwa mara, Amani lina stori kamili. Gari aina ya BMW la Staa wa filamu Bongo, Wema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PENZI LAKE NA WEMA ,KUMBE DIMPOZ BOYA TU

Stori: Musa mateja
HABARI ya mjini ni kwamba, lile penzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula vinono, Risasi Jumamosi limetonywa. Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ akiwa na mwigizaji Wema...

 

9 years ago

MillardAyo

Video 2 fupi za comedy:Mwizi wa gari alivyotegwa, Boyfriend anapojidai msamaria kumbe girlfriend tayari ameshajua anachepuka

Kuna vipisi vya sekunde 15 kila kimoja hapa kwenye hii post ya vichekesho/vituko vilivyotengenezwa ambapo hiki cha kwanza hapa kinahusu boyfriend anapojidai msamaria kumbe girlfriend tayari ameshajua anachepuka na cha pili kinahusu Mwizi wa gari alivyotegwa. Pale Boyfriend anapojidai msamaria kumbe girlfriend tayari ameshajua anachepuka… A video posted by millard ayo (@millardayo) on Dec 15, 2015 […]

The post Video 2 fupi za comedy:Mwizi wa gari alivyotegwa, Boyfriend anapojidai msamaria...

 

10 years ago

GPL

GARI LA DIAMOND LAMCHEFUA WEMA

Stori: Musa Mateja
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa. Ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond'. Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama...

 

11 years ago

GPL

GARI LA WEMA SEPETU LAZINGIRWA

Stori: Waandishi Wetu
KATIKA hali ya kushangaza watu mbalimbali ambao ni mashabiki wa msanii wa filamu, Wema Sepetu walizingira gari la staa huyo huku wakimuamuru ashuke ili akaungane na mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu akizingirwa na washabiki. Tukio hilo lilitokea Jumatano hii maeneo ya Sinza-Mori, jijini Dar ambapo ndipo kulikuwa kikomo cha msafara uliokwenda kumpokea...

 

10 years ago

GPL

WEMA AUZA GARI LA DIAMOND

Stori: Mwandishi wetu
Lile gari jipya aina ya Nissan  Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limezua mapya ambapo baada ya kudai linamchefua sasa anadaiwa kuwa analiuza kwa kigezo kwamba hataki gundu mwaka huu mpya wa 2015. Gari jipya aina ya Nissan  Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

 

10 years ago

Mtanzania

Wema, Milard Ayo mabalozi wa gari mpya

Millard AyoNA MWALI IBRAHIM
MSANII wa filamu nchini, Wema Sepetu na Mtangazaji, Milard Ayo, wametangazwa kuwa mabalozi wa gari mpya aina ya Mitsubishi ASX.
Meneja mauzo wa Kampuni ya Diamond Motors, Reena Geratra, alisema mwonekano wa mastaa hao umewavutia kuwateua kuwa mabalozi wao wa kutangaza gari lao hilo linalotumia mafuta kidogo ambalo litahimili foleni za barabarani.
Baada ya kutangazwa hivyo, Wema alifurahishwa na uteuzi huo huku akiahidi kuwa balozi mwema na wa mfano.

 

10 years ago

GPL

WEMA, DIAMOND WAZINDUA GARI KWA MAHABA

Stori: Richard Bukos
Mahaba nimalize! Mastaa wapendanao, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wamesababisha tukio jipya kama kawaida yao, safari hii wameishtua kadamnasi kwa kuzindua gari jipya kwa mahaba mazito ndani yake, Ijumaa Wikienda lilinyaka mchongo mzima. Mastaa wapendanao, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani