Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema, Milard Ayo mabalozi wa gari mpya

Millard AyoNA MWALI IBRAHIM
MSANII wa filamu nchini, Wema Sepetu na Mtangazaji, Milard Ayo, wametangazwa kuwa mabalozi wa gari mpya aina ya Mitsubishi ASX.
Meneja mauzo wa Kampuni ya Diamond Motors, Reena Geratra, alisema mwonekano wa mastaa hao umewavutia kuwateua kuwa mabalozi wao wa kutangaza gari lao hilo linalotumia mafuta kidogo ambalo litahimili foleni za barabarani.
Baada ya kutangazwa hivyo, Wema alifurahishwa na uteuzi huo huku akiahidi kuwa balozi mwema na wa mfano.

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

LULU, MILARD AYO, KING MAJUTO WAIBUKA VINARA KATIKA SHEREHE ZA UTOAJI TUZO ZA WATU KATIKA HOTELI YA SERENA

 Millard Ayo akipokea Tuzo ya Mtangazaji wa Radio wa kiume anayependwa mara baada ya kuibuka mshindi katika kipengele hiko  Akiwashukuru Wadau waliompigia kura na kumpa sapoti  Salim Kikeke kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC akiwashukuru wadau wake waliomuwezesha kushinda Tuzo  King Majuto akifurahi mara baada ya kuppokea Tuzo yake mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kipengele cha Msanii Bora anayependwa wa Kiume.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

GPL

GARI LA DIAMOND LAMCHEFUA WEMA

Stori: Musa Mateja
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa. Ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond'. Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama...

 

11 years ago

GPL

GARI LA WEMA SEPETU LAZINGIRWA

Stori: Waandishi Wetu
KATIKA hali ya kushangaza watu mbalimbali ambao ni mashabiki wa msanii wa filamu, Wema Sepetu walizingira gari la staa huyo huku wakimuamuru ashuke ili akaungane na mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu akizingirwa na washabiki. Tukio hilo lilitokea Jumatano hii maeneo ya Sinza-Mori, jijini Dar ambapo ndipo kulikuwa kikomo cha msafara uliokwenda kumpokea...

 

10 years ago

GPL

KUMBE GARI LA WEMA KIMEO

Musa mateja
NInoma! Kumbe lile gari la kifahari aina ya BMW ambalo muigizaji nyota wa filamu Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ alizawadiwa wakati wa bethidei yake na kuwa miongoni mwa sababu za kumwagana na mpenzi wake wa awali, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ mwaka jana, linadaiwa kuwa kimeo kwa vile limekuwa likiharibika mara kwa mara, Amani lina stori kamili. Gari aina ya BMW la Staa wa filamu Bongo, Wema...

 

10 years ago

GPL

WEMA AUZA GARI LA DIAMOND

Stori: Mwandishi wetu
Lile gari jipya aina ya Nissan  Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alilompa aliyekuwa mwandani wake, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limezua mapya ambapo baada ya kudai linamchefua sasa anadaiwa kuwa analiuza kwa kigezo kwamba hataki gundu mwaka huu mpya wa 2015. Gari jipya aina ya Nissan  Murano la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani