Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Linah adai penzi lake na Mganda ni imara zaidi ya saruji

Hitmaker wa Ole Temba, Linah Sanga amesema uhusiano wake na raia wa Uganda, Williams Bugeme ni imara zaidi ya vile wengi wanavyodhani. Linah ameiambia Bongo5 kuwa uvumi kuwa tayari wameachana na mpenzi wake huyo, umetokana na kuonekana kutokuwa naye karibu kama zamani. “Mimi nashangaa watu wanataka nini?” amehoji. “Watu wanafikiri mimi na mpenzi wangu tunaweza […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mganda Simba adai chake Dar

Wakati kocha wa zamani wa viungo wa timu ya Simba, Richard Amatre raia wa Uganda akitua nchini kudai chake, uongozi wa klabu hiyo umesema kuwa kocha huyo hana anachokidai na kwamba anatumiwa ili kuivuruga timu hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

JK: Tumetoka Dodoma tukiwa imara zaidi

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akihutubia mkutano mkuu wa chama hicho.MWENYEKITI wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amesema chama hicho kimetoka wamoja ndani ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na waliodhani kitasambaratikia hapo, wataula wa chuya.

 

10 years ago

GPL

PENZI LAKE NA WEMA ,KUMBE DIMPOZ BOYA TU

Stori: Musa mateja
HABARI ya mjini ni kwamba, lile penzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula vinono, Risasi Jumamosi limetonywa. Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ akiwa na mwigizaji Wema...

 

10 years ago

Bongo5

Linah adai $30,000 walizompa Godfather kushoot video ya ‘Ole Themba’ zilimuuma

Kutoa shilingi milioni 49,800,000 na kumkabidhi muongozaji wa video wa Afrika Kusini, Godfather kushoot video ya ‘Ole Themba’ ni kitu ambacho Linah hakukifanya kirahisi. Linah ameiambia Bongo5 kuwa wakati anakabidhi pesa hiyo kwa director huyo aliona kama anazitoa. “Godfather tulimkabidhi $15,000 mbele ya mashahidi na baada ya hapo tukamalizia tena dola $15,000 jumla ikawa $30,000 […]

 

10 years ago

Mwananchi

JACK PENTEZEL: Awajia juu wafitini wa penzi lake

>Mwigizaji Jack Pentezel amewajia juu wale wote wanaotaka umaarufu kupitia jina lake kwa kutangaza kila kukicha kuwa ameachana na mumewe Kauthar  Dibibi.

 

9 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel Awapa Makavu Wanaoponda Penzi Lake na Baba Cookie

Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ ambaye amezaa na mcheza shoo wa msanii Diamond Platnumz, Moses Iyobo amewapa makavu wale wote wanaodani kuwa amepotea kwa kitendo chake cha kuzaa na mcheza shoo huyo.

Kupitia ukurasa wake mtandaon, Aunt aliweka picha hiyo hapo juu ya Iyobo na kuandika haya.

“Kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani nyinyi na Maboss wenu mimi na Dancer wangu wote tunatembelea makalio pumbavuu kaza buti Dady Cookie wangu nakupenda hvyohvyo.....”

Ujumbe...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atembelea kiwanda kikubwa zaidi cha saruji duniani

d10

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mfanyabiashara na mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote katika uwanja wa ndege wa kiwanda chake cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014. Kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ishaya Samaila Majanbu.

. Ni kile kinachomilikiwa na mwekezaji anayejenga kiwanda cha saruji Mtwara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea kiwanda cha saruji kikubwa zaidi duniani

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mfanyabiashara na mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote katika uwanja wa ndege wa kiwanda chake cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014. Kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ishaya Samaila Majanbu Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akipata maelezo toka kwa mfanyabiashara na mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote wakati...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Serengeti Boy Kujinadi Kulifaidi Kufaidi Penzi Lake, Wolper Achukulia Kama Changamoto!

Mrembo na staa wa bongo movies, Jackline  Massawe Wolper ameonyesha kuchukulia ni kama changamoto kitendo cha msanii wa muziki kutoka kundi la makomando Fredy Felix  ambae ni bwa’mdogo “Serengeti Boy” kujinadi hadharani kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wolper huku akielezea njinsi alivyompata na kumsifu kuwa alimpata penzi ambalo hatoweza kulisahau.

Felix aliyasema hayo hivi juzi kati alipokuwa akifanya mahojiano na Global Tv online nakusababisha stori hii kuenea kwa kasi sana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani