Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mganda Simba adai chake Dar

Wakati kocha wa zamani wa viungo wa timu ya Simba, Richard Amatre raia wa Uganda akitua nchini kudai chake, uongozi wa klabu hiyo umesema kuwa kocha huyo hana anachokidai na kwamba anatumiwa ili kuivuruga timu hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Linah adai penzi lake na Mganda ni imara zaidi ya saruji

Hitmaker wa Ole Temba, Linah Sanga amesema uhusiano wake na raia wa Uganda, Williams Bugeme ni imara zaidi ya vile wengi wanavyodhani. Linah ameiambia Bongo5 kuwa uvumi kuwa tayari wameachana na mpenzi wake huyo, umetokana na kuonekana kutokuwa naye karibu kama zamani. “Mimi nashangaa watu wanataka nini?” amehoji. “Watu wanafikiri mimi na mpenzi wangu tunaweza […]

 

10 years ago

Mwananchi

Mganda: Simba legelege

Kocha Mkuu Express ya Uganda, Wasswa Bossa amesema Simba ina kikosi kizuri ila kuna vitu lazima ivifanyie kazi ili wachezaji wake wawe na nguvu ya kuhimili kucheza dakika tisini.

 

10 years ago

GPL

Kiongera arejeshwa, kumuondoa Mganda mmoja Simba SC

Mshambuliaji wa Simba,Paul Kiongera. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas Dar es Salaam
TIMU ya Simba imepanga kumrejesha kiungo mshambuliaji Paul Kiongera katika usajili mkubwa wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara kwa ajili ya kukiimarisha kikosi hicho.Wakati mipango ikiwa hivyo, kiungo huyo ametoa kauli kuwa anakuja akiwa fiti, hiyo ikimaanisha kuwa ushindani wa namba kwenye idara ya ushambuliaji utakuwa mkali kati yake na Elias...

 

9 years ago

Habarileo

Kerr adai Matola si pengo Simba

KOCHA wa timu ya soka ya Simba, Dylan Kerr amesema kuondoka kwa msaidizi wake, Selemani Matola hakujaacha pengo na kwamba ana uhakika ataendelea kuifundisha timu hiyo na kuipa mafanikio makubwa katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

 

9 years ago

Bongo5

Abdul Kiba adai kuitwa na kikosi cha Simba kufanyiwa majaribio

Abdul Kiba amedai ameitwa na klabu ya Simba ili kufanya majaribio ya kuichezea timu hiyo. Akizungumza na Bongo5 jana, Abdul Kiba alisema ikitokea atapewa nafasi ya kuichezea timu hiyo atacheza. “Yeah bana nimeitwa na Simba, mimi ni mchezaji sio kocha, kwahiyo ukisikia nimeitwa ujue ni kuhusu kucheza. Bado sijakaa nao chini na kuzungumza ila nikifanikiwa […]

 

10 years ago

Michuzi

OKWI AREJEA SIMBA SC KUCHEZA KWA MUDA KULINDA KIPAJI CHAKE WAKATI KESI YAKE NA YANGA IKIENDELEA


Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMSTAILI ile ile waliyotumia Yanga SC kumpata mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi ndiyo ambayo klabu yake ya zamani, Simba SC inaitumia kumrejesha kundini Mganda huyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jioni hii mjini Dar es Salaam, Okwi amesema kwamba amesaini Simba SC mkataba huru wa muda, baada ya Yanga SC kumpa barua ya kusitisha mkataba naye jana pamoja na kumshitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).


Okwi amesema ameamua kuomba kuichezea Simba SC kipindi...

 

10 years ago

Vijimambo

JENGO SKULI MPYA YA MICHAKAINI WILAYA YA CHAKE CHAKE YAFUNGULIWA RASMI


JENGO la ghorofa moja la skuli mpya ya Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba, ambalo lilijengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, kabla ya balozi wa nchi hiyo, nchini Tanzania Masaharu Yoshida kulifungua rasmi. BALOZI wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida akiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla, wakikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la ghorofa moja la skuli ya Michakaini lililojengwa na serikali ya watu wa Japan. MWENYEKITI wa...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA WALEMAVU DUNIANI ZANZIBAR YASHEREHEKEWA KITAIFA CHAKE CHAKE, PEMBA

 Waziri  wa Biashara,  Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe: Nassor Ahmed Mazuri akipokea maandamano ya watu wenye ulemavu wakati wakipita mbele yake kwenye siku ya maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani ambapo kitaifa kwa Zanzibar yaliofanyika mjini Chakechake, Pemba  Baadhi ya watu wenye ulemavu wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri wa biashara na viwanda Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazuri aliekuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya watu wenye duniani ambayo kitaifa kwa Zanzibar...

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AUNGURUMA VIWANJA VYA TIBIRIZI, CHAKE CHAKE PEMBA

Mamia ya wafuasi wa Chama Cha Wananchi ( Cuf ) wakimsikiliza mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano uliofanyika viwanja wa Tibirizi, Chake Chake Pemba leo.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Cuf, Maalim Seif akihutubia mkutano wa hadhara wakati akinadi sera zake katika viwanja vya Tibirizi, Chake Chake Pemba
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema iwapo atachaguliwa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani