Kiongera arejeshwa, kumuondoa Mganda mmoja Simba SC
![](http://api.ning.com:80/files/Qyn*Uz1WnG-UmW9i3lU9KDY8-9azkEAu2eft9GMMYIXBgUNHKvQKxulATCY3NiAgXCUdfWJekp6dgvh*2ofbXx447EQW6OQw/Kiongera.jpg)
Mshambuliaji wa Simba,Paul Kiongera. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas Dar es Salaam TIMU ya Simba imepanga kumrejesha kiungo mshambuliaji Paul Kiongera katika usajili mkubwa wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara kwa ajili ya kukiimarisha kikosi hicho.Wakati mipango ikiwa hivyo, kiungo huyo ametoa kauli kuwa anakuja akiwa fiti, hiyo ikimaanisha kuwa ushindani wa namba kwenye idara ya ushambuliaji utakuwa mkali kati yake na Elias...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Dec
Mganda: Simba legelege
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Mganda Simba adai chake Dar
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Kiongera achelewesha kikosi Simba
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Kiongera, Majwega washusha presha Simba
10 years ago
Mtanzania03 Sep
Kiongera akabidhiwa jezi ya Mosoti Simba
![Mshambuliaji mpya wa Simba, Paul Kiongera](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Kiongera.jpg)
Mshambuliaji mpya wa Simba, Paul Kiongera
NA HUSSEIN OMAR, UNGUJA
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Paul Kiongera, amewasili katika kambi ya timu hiyo, iliyopo mjini hapa kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayoanza Septemba 20, mwaka huu.
Simba imeweka kambi hapa ikiwa chini ya Kocha Mkuu wake, Mzambia Patrick Phiri na Jumamosi inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na Gor Mahia ya Kenya, katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Kiongera, aliyewasili hapa juzi usiku, jana alijumuika na...
9 years ago
Mtanzania11 Dec
Kiongera, Majwega ‘out’ Simba v Azam
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba huenda ikashindwa kuwatumia nyota wake wapya iliyowasajili usajili wa dirisha dogo kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Azam kesho, kutokana na kubanwa na taratibu za usajili nchini.
Baadhi ya wachezaji hao iliyowasajili ni mshambuliaji Paul Kiongera waliyemrudisha kwa mkopo akitokea KCB ya Kenya, winga Brian Majwega kutoka Azam FC, straika kinda Hijja Ugando.
Wengine ni beki Novatus Lufunga aliyetokea African...
10 years ago
Mwananchi07 Sep
Kiongera aing’arisha Simba Uwanja wa Taifa
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Ivo, Kiongera waachwa safari ya Simba Sauzi
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Raphael Kiongera aikataa jezi ya Mosoti Simba