Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongera aing’arisha Simba Uwanja wa Taifa

>Mshambuliaji mpya wa Simba, Raphael Kiongera aliifungia timu yake mabao mawili muhimu akitokea benchi katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Gor Mahia na kuiwezesha kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Phiri aing’arisha Simba Zanzibar

Simba inarudi leo jijini Dar es Salaam ikiwa imevuna mabao tisa katika mechi tatu za kirafiki walizocheza visiwani hapa, huku ikiruhusu bao moja langoni mwao, jambo lililofanya ionekane katika ubora wake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mdee aing’arisha BAWACHA

MWENYEKITI wa Taifa wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Halima Mdee na viongozi wenzake, wameendelea kuking’arisha chama hicho Kanda ya Ziwa, huku akiwataka wananchi wa Msalala kukikataa Chama Cha Mapinduzi...

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete aing’arisha Tanzania

TANZANIA imetajwa kuwa kinara katika nchi za Afrika Mashariki kwa kutunza amani na utulivu tangu ipate uhuru, huku Rais Jakaya Kikwete akiibuka kiongozi bora katika ukanda huo kwa kujitolea kuleta amani katika Bara la Afrika na kutunza amani hiyo nchini mwake.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kibadeni aing’arisha Mahakama Shimiwi

Scan10178

Wachezaji wanawake wa mchezo wa kamba wa timu ya Mahakama walishindana na wapinzani wao wa Mipango kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro katika mashindano ya Shimiwi inayoendelea mpaka sasa. Mahakama ilishinda kwa 2-0. (Picha/Mpigapicha wetu).

Na Mwandishi wetu, Morogoro

Timu ya  Mahakama ya Tanzania imeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya Shirikisho ya  Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (Shimiwi) inayoendelea mkoani Morogoro kwenye uwanja wa Jamhuri.

Timu ya Mahakama ambayo...

 

9 years ago

Mwananchi

Martial aing’arisha Man United

Mabao mawili ya kinda Anthony Martial na jingine la Juan Mata jana yaliiwezesha Manchester United kushinda mabao 3-2 dhidi ya Southampton kwenye mchezo mgumu wa Ligi Kuu England.

 

11 years ago

Michuzi

Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0

Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu,Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara,unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0.kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.

 

10 years ago

GPL

SIMBA ILIVYOICHAKAZA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA

Emmanuel Okwi wa Simba (kulia) akikwatuliwa na beki wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' katika mechi baina ya timu hizo leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Okwi. Abdi Banda wa Simba (kulia) akiondoka na mpira huku akikabwa na kiungo Haruna Niyonzima wa Yanga.…

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yaipania Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Taifa

Baada ya kushindwa kutwaa Kombe la Mapinduzi, Simba leo itashuka uwanja wa Taifa kumenyana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa kirafiki ambao kiingilio chake ni Sh5,000.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani