Kibadeni aing’arisha Mahakama Shimiwi
Wachezaji wanawake wa mchezo wa kamba wa timu ya Mahakama walishindana na wapinzani wao wa Mipango kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro katika mashindano ya Shimiwi inayoendelea mpaka sasa. Mahakama ilishinda kwa 2-0. (Picha/Mpigapicha wetu).
Na Mwandishi wetu, Morogoro
Timu ya Mahakama ya Tanzania imeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya Shirikisho ya Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (Shimiwi) inayoendelea mkoani Morogoro kwenye uwanja wa Jamhuri.
Timu ya Mahakama ambayo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo09 Sep
Kikwete aing’arisha Tanzania
TANZANIA imetajwa kuwa kinara katika nchi za Afrika Mashariki kwa kutunza amani na utulivu tangu ipate uhuru, huku Rais Jakaya Kikwete akiibuka kiongozi bora katika ukanda huo kwa kujitolea kuleta amani katika Bara la Afrika na kutunza amani hiyo nchini mwake.
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Mdee aing’arisha BAWACHA
MWENYEKITI wa Taifa wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Halima Mdee na viongozi wenzake, wameendelea kuking’arisha chama hicho Kanda ya Ziwa, huku akiwataka wananchi wa Msalala kukikataa Chama Cha Mapinduzi...
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Phiri aing’arisha Simba Zanzibar
9 years ago
Mwananchi21 Sep
Martial aing’arisha Man United
10 years ago
Mwananchi07 Sep
Kiongera aing’arisha Simba Uwanja wa Taifa
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-p_sYft3ZeF0/VC_e39zJ_2I/AAAAAAAGnvA/XJo1LrACvuo/s72-c/unnamed%2B(55).jpg)
Mahakama wang'ara Shimiwi
Timu ya Mahakama ambayo inanolewa na kocha wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa, Abdallah “King Mputa” Kibadeni jana iliibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Ras Tanga na kuingia hatua ya robo fainali.
Wakati timu ya soka ikiingia katika hatua hiyo muhimu, timu ya mchezo, kamba (wanawake na...
10 years ago
MichuziIKULU ,HAZINA, MAHAKAMA ZATINGA NUSU FAINALI SHIMIWI
Timu za kamba za Ikulu, Hazina na Mahakama zimeingia hatua ya nusu fainali kwa kishindo baada ya kuzivuta timu pinzani katika michezo ya SHIMIWI iliyofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro leo.
Michezo hiyo ya kusisimua iliyovuta mashabiki wengi ilianza majira ya saa moja asubuhi ambapo timu ya kamba ya wanawake ya Ikulu iliivuta timu ya kamba ya wanawake ya Kilimo na kuibuka mshindi kwa kuvuta mivuto yote miwili.
Mchezo wa pili ulikuwa kati ya timu ya kamba ya...
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Obama aing'oa Burundi kutoka kwenye AGOA
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Sturridge, Gerrard wang’arisha