Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Phiri aing’arisha Simba Zanzibar

Simba inarudi leo jijini Dar es Salaam ikiwa imevuna mabao tisa katika mechi tatu za kirafiki walizocheza visiwani hapa, huku ikiruhusu bao moja langoni mwao, jambo lililofanya ionekane katika ubora wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kiongera aing’arisha Simba Uwanja wa Taifa

>Mshambuliaji mpya wa Simba, Raphael Kiongera aliifungia timu yake mabao mawili muhimu akitokea benchi katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Gor Mahia na kuiwezesha kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete aing’arisha Tanzania

TANZANIA imetajwa kuwa kinara katika nchi za Afrika Mashariki kwa kutunza amani na utulivu tangu ipate uhuru, huku Rais Jakaya Kikwete akiibuka kiongozi bora katika ukanda huo kwa kujitolea kuleta amani katika Bara la Afrika na kutunza amani hiyo nchini mwake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mdee aing’arisha BAWACHA

MWENYEKITI wa Taifa wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Halima Mdee na viongozi wenzake, wameendelea kuking’arisha chama hicho Kanda ya Ziwa, huku akiwataka wananchi wa Msalala kukikataa Chama Cha Mapinduzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kibadeni aing’arisha Mahakama Shimiwi

Scan10178

Wachezaji wanawake wa mchezo wa kamba wa timu ya Mahakama walishindana na wapinzani wao wa Mipango kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro katika mashindano ya Shimiwi inayoendelea mpaka sasa. Mahakama ilishinda kwa 2-0. (Picha/Mpigapicha wetu).

Na Mwandishi wetu, Morogoro

Timu ya  Mahakama ya Tanzania imeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya Shirikisho ya  Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (Shimiwi) inayoendelea mkoani Morogoro kwenye uwanja wa Jamhuri.

Timu ya Mahakama ambayo...

 

9 years ago

Mwananchi

Martial aing’arisha Man United

Mabao mawili ya kinda Anthony Martial na jingine la Juan Mata jana yaliiwezesha Manchester United kushinda mabao 3-2 dhidi ya Southampton kwenye mchezo mgumu wa Ligi Kuu England.

 

10 years ago

TheCitizen

Simba’s Phiri given ultimatum

Pressure is mounting on Zambian technician Patrick Phiri in Dar es Salaam’s Simba Sports Club as the side’s leadership gave him the ultimatum of winning the next two matches in the on going Tanzania Mainland Premier League, failure of which his contract could be terminated.

 

10 years ago

Mwananchi

Goran kumrithi Phiri Simba

Siku za Patrick Phiri kwenye klabu ya Simba zimeanza kuhesabika baada ya viongozi kuanza mazungumzo na kocha Mserbia, Goran Kopunovic.

 

10 years ago

GPL

Phiri amtuliza Tambwe Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya kumuacha katika kikosi cha timu hiyo kilichocheza dhidi ya URA ya Uganda hivi karibuni, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, amemtuliza mshambuliaji wake raia wa Burundi, Amissi Tambwe na kumhakikishia kuwa atapata nafasi ya kucheza. Ijumaa iliyopita, Tambwe alijikuta katika wakati mgumu baada kutoswa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kilicheza na URA na...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri awatoa hofu Simba

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo na kusema kuwa kipigo walichopata kutoka kwa URA na sare dhidi ya Ndanda FC haimaanishi kuwa timu yao ni mbovu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani