Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mganda: Simba legelege

Kocha Mkuu Express ya Uganda, Wasswa Bossa amesema Simba ina kikosi kizuri ila kuna vitu lazima ivifanyie kazi ili wachezaji wake wawe na nguvu ya kuhimili kucheza dakika tisini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

CCM legelege inazaa serikali legelege

MOJA ya wosia na maangilizo muhimu ya kukumbukwa yaliyoachwa na Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere, kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Watanzania ni ile kauli yake aliyoitoa kwamba...

 

11 years ago

Mwananchi

Mganda Simba adai chake Dar

Wakati kocha wa zamani wa viungo wa timu ya Simba, Richard Amatre raia wa Uganda akitua nchini kudai chake, uongozi wa klabu hiyo umesema kuwa kocha huyo hana anachokidai na kwamba anatumiwa ili kuivuruga timu hiyo.

 

10 years ago

GPL

Kiongera arejeshwa, kumuondoa Mganda mmoja Simba SC

Mshambuliaji wa Simba,Paul Kiongera. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas Dar es Salaam
TIMU ya Simba imepanga kumrejesha kiungo mshambuliaji Paul Kiongera katika usajili mkubwa wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara kwa ajili ya kukiimarisha kikosi hicho.Wakati mipango ikiwa hivyo, kiungo huyo ametoa kauli kuwa anakuja akiwa fiti, hiyo ikimaanisha kuwa ushindani wa namba kwenye idara ya ushambuliaji utakuwa mkali kati yake na Elias...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Watendaji legelege TAKUKURU kukiona


NA EVA-SWEET MUSIBA, SIRARI
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imezitaka idara za udhibiti za katika mpaka wa Sirari, kufanya kazi uadilifu ili kudhibiti bidhaa zisizofaa kuingizwa nchini.
Imeonya kuwa kinyume cha agizo hilo, watendaji watakaobanika watachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria.
Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mara, Joseph Holle, alisema kuwa idara hizo zinapaswa kufanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha bidhaa zisizofaa kutoka nchi jirani haziingizwi nchini.
Alisema...

 

9 years ago

Mtanzania

Mganda amshinda Diamond tuzo ya Nigeria

NEW kenzoYORK, MAREKANI

ALIYEKUWA mshindani mkubwa wa mkali wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, msanii kutoka Uganda, Eddie Kenzo, ndiye aliyeibuka mshindi katika tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) kipengele cha ‘African Artist of The Year’ walichokuwa wakishindania.

Mganda huyo alishinda tuzo hiyo katika kipengele hicho maalumu kwa wasanii wasio Wanigeria, Septemba 6 huko New York, Marekani ambapo tuzo hizo zilitolewa.

Licha ya Diamond kuwania...

 

10 years ago

Mwananchi

Mganda kidedea Spika Bunge Afrika Mashariki

Dan Kidega (41), ndiye Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), baada ya kupitishwa kwa kauli moja kutokana na kukosa mshindani.

 

10 years ago

Habarileo

Mganda adaiwa kusababisha hasara mil.800/-

RAIA wa Uganda, Tonny Nsamba (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza vifaa vya mawasiliano nchini bila kibali na kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) hasara ya Sh milioni 799.2.

 

9 years ago

Bongo5

Linah adai penzi lake na Mganda ni imara zaidi ya saruji

Hitmaker wa Ole Temba, Linah Sanga amesema uhusiano wake na raia wa Uganda, Williams Bugeme ni imara zaidi ya vile wengi wanavyodhani. Linah ameiambia Bongo5 kuwa uvumi kuwa tayari wameachana na mpenzi wake huyo, umetokana na kuonekana kutokuwa naye karibu kama zamani. “Mimi nashangaa watu wanataka nini?” amehoji. “Watu wanafikiri mimi na mpenzi wangu tunaweza […]

 

10 years ago

Mwananchi

Zari ‘The bossy Lady’ ; Mganda aliyeviteka vyombo vya habari NCHINI kwa sasa

Wengi tunamfahamu kama Zari The bossy lady lakini jina lake halisi ni Zarinah Hassan mwanamuziki wa Uganda ambaye ameweka makazi yake nchini Afrika Kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani