Mganda kidedea Spika Bunge Afrika Mashariki
Dan Kidega (41), ndiye Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), baada ya kupitishwa kwa kauli moja kutokana na kukosa mshindani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSPIKA WA BUNGE AKUTANA NA Makamu Mwenyekiti ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya
11 years ago
MichuziWABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO
10 years ago
BBCSwahili28 Nov
Spika Bunge ,Afrika Mashariki aondoshwa
10 years ago
Habarileo18 Dec
Spika Bunge Afrika Mashariki ang’olewa
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margaret Zziwa hatimaye ameng’olewa na baadhi ya Wabunge wa Bunge hilo.
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Breaking News… Bunge Afrika Mashariki lamvua spika madaraka yake
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kabla ya kubwagwa leo Bi.Margaret Nantongo Zziwa.
Na Mahmoud Ahmad Arusha
BUNGE la nchi za jumuia ya Afrika Mashariki,lenye makao yake mjini Arusha, limemvua madaraka ya Uspika wa bunge hilo Margaret Nantongo Zziwa, kutoka nchini Uganda.
Uamuzi huo umefanywa leo katika kikao cha bunge hilo ambapo Spika huyo alipigiwa kura 36 za kutokuwa na Imani nae, kura 2 zimeharika kura moja haikueleweka hivyo kukosa sifa ya kuendelea na wadhifa huo.
Kwa...
11 years ago
MichuziNews alert: Vuguvugu la kutaka kumng'oa madarakani spika wa bunge la Afrika mashariki latikisa Arusha
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Spika wa Bunge la A.Mashariki mashakani
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Wabunge Afrika Mashariki waache kumghasi Spika
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Spika Zziwa ang'olewa Afrika Mashariki