Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Breaking News… Bunge Afrika Mashariki lamvua spika madaraka yake

Zziwa

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kabla ya kubwagwa leo Bi.Margaret Nantongo Zziwa.

Na Mahmoud Ahmad Arusha

BUNGE  la nchi za jumuia ya Afrika Mashariki,lenye makao yake mjini Arusha, limemvua madaraka ya Uspika wa bunge hilo Margaret Nantongo Zziwa, kutoka nchini Uganda.

Uamuzi huo umefanywa  leo katika kikao cha bunge hilo ambapo Spika huyo alipigiwa kura 36 za kutokuwa na Imani nae,  kura 2 zimeharika kura moja haikueleweka  hivyo kukosa sifa ya kuendelea na wadhifa huo.

Kwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO

Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa, akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka Spika wa Bunge hilo. Kulia ni mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima na Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji. Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka...

 

11 years ago

Michuzi

News alert: Vuguvugu la kutaka kumng'oa madarakani spika wa bunge la Afrika mashariki latikisa Arusha

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki leo wameendelea na mchakato wao wa  kumuondoa spika  Mhe. Dkt. Margaret Nantongo Zziwa,  baada mahakama ya Afrika ya Mashariki ( East Afrika court of Justice) jijini Arusha kukataa kuzuia zoezi la kumuondosha katika kiti hicho. Ripota wetu anataarifu kutoka huko kuwa bunge liliahirishwa kukutana tena leo asubuhi baada ya suluhu kukosekana. "Hili linazuia mchakato mzima wa bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kusomwa", Mbunge mmoja alisikika...

 

10 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA Makamu Mwenyekiti ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya

Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akimkaribisha Makamu Mwenyekiti  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya Mhe. Chris Nakulelu kabla ya kufanya nao mazungumzo katika ukumbi wa mkutano wa Spika.Mhe.Nakululu alikuwa kiongozi wa msafara huo.Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akifurahi jambo na Makamu Mwenyekiti  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya Mhe. Chris Nakulelu wakati wa mazungumzo yao katika ukumbi wa mkutano wa Spika.Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Spika Bunge ,Afrika Mashariki aondoshwa

Spika wa Bunge la jumuiya ya Afrika mashariki Bi Margaret Nandongo Zziwa amesimamishwa kazi.

 

10 years ago

Habarileo

Spika Bunge Afrika Mashariki ang’olewa

Margaret ZziwaSPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margaret Zziwa hatimaye ameng’olewa na baadhi ya Wabunge wa Bunge hilo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mganda kidedea Spika Bunge Afrika Mashariki

Dan Kidega (41), ndiye Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), baada ya kupitishwa kwa kauli moja kutokana na kukosa mshindani.

 

10 years ago

Dewji Blog

BREAKING NEWS:Spika Makinda akatisha Bunge kunusuru fujo Bungeni Dodoma leo

8517823001

Spika wa Bunge, Anne Makinda  saa moja iliyopita mjini Dodoma, ameamua kukatisha kikao cha 19 cha Bunge kilichokuwa kikiendelea mjini humo kufuaatia Wabunge kusimama  kwa kumshinikiza Waziri Mkuu atoe kauli ya juu ya Zoezi la uandikishaji wapigakura katika Daftari la Kudumu la Wapigakura  lililokuwa likiendelea Mkoa wa Njombe, huku likikabiliwa na changamoto nyingi, ikiwamo mashine za Biometric Voter Registration (BVR), kushindwa kufanya kazi ipasavyo na matatizo juu ya zoezi hilo.

maji-mnyika

 

11 years ago

BBCSwahili

Spika wa Bunge la A.Mashariki mashakani

Mgogoro wa uongozi umezuka katika Bunge la Afrika Mashariki ambapo wabunge wa bunge hilo wanakusudia kumwondoa madarakani spika wa bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge Afrika Mashariki waache kumghasi Spika

Inasikitisha kuona kwamba wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wameendelea na mizozo kiasi cha kukwamisha shughuli za Bunge hilo na kusababisha hofu kwamba linaweza kusambaratika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani