Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge Afrika Mashariki waache kumghasi Spika

Inasikitisha kuona kwamba wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wameendelea na mizozo kiasi cha kukwamisha shughuli za Bunge hilo na kusababisha hofu kwamba linaweza kusambaratika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO

Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa, akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka Spika wa Bunge hilo. Kulia ni mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima na Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji. Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Spika Bunge ,Afrika Mashariki aondoshwa

Spika wa Bunge la jumuiya ya Afrika mashariki Bi Margaret Nandongo Zziwa amesimamishwa kazi.

 

10 years ago

Habarileo

Spika Bunge Afrika Mashariki ang’olewa

Margaret ZziwaSPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margaret Zziwa hatimaye ameng’olewa na baadhi ya Wabunge wa Bunge hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Spika Zziwa ang'olewa Afrika Mashariki

Bunge la Afrika Mashariki limemwondoa madarakani spika wake Margaret Nantongo Zziwa

 

10 years ago

Mwananchi

Mganda kidedea Spika Bunge Afrika Mashariki

Dan Kidega (41), ndiye Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), baada ya kupitishwa kwa kauli moja kutokana na kukosa mshindani.

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News… Bunge Afrika Mashariki lamvua spika madaraka yake

Zziwa

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kabla ya kubwagwa leo Bi.Margaret Nantongo Zziwa.

Na Mahmoud Ahmad Arusha

BUNGE  la nchi za jumuia ya Afrika Mashariki,lenye makao yake mjini Arusha, limemvua madaraka ya Uspika wa bunge hilo Margaret Nantongo Zziwa, kutoka nchini Uganda.

Uamuzi huo umefanywa  leo katika kikao cha bunge hilo ambapo Spika huyo alipigiwa kura 36 za kutokuwa na Imani nae,  kura 2 zimeharika kura moja haikueleweka  hivyo kukosa sifa ya kuendelea na wadhifa huo.

Kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Upatikanaji wabunge wa Afrika Mashariki ubadilishwe-Mwakyembe

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harison Mwakyembe.WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe, amependekeza mfumo wa kupata wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, ubadilishwe.

 

11 years ago

Michuzi

News alert: Vuguvugu la kutaka kumng'oa madarakani spika wa bunge la Afrika mashariki latikisa Arusha

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki leo wameendelea na mchakato wao wa  kumuondoa spika  Mhe. Dkt. Margaret Nantongo Zziwa,  baada mahakama ya Afrika ya Mashariki ( East Afrika court of Justice) jijini Arusha kukataa kuzuia zoezi la kumuondosha katika kiti hicho. Ripota wetu anataarifu kutoka huko kuwa bunge liliahirishwa kukutana tena leo asubuhi baada ya suluhu kukosekana. "Hili linazuia mchakato mzima wa bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kusomwa", Mbunge mmoja alisikika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tamko la wabunge Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki EALA — TZ

IMG_0041

Mwenyekiti wa wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(EALA) Mh. Adam Kimbisa akitoa tamko la wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu sakata la kumvua madaraka spika wa bunge hilo wakati wa Mkutano uliofanyika katikamukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO).Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw. Assah Mwambene.

IMG_0017

Katibu wa wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(EALA) Mh. Shy-rose Bhanji akieleza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani