Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya Serengeti Boy Kujinadi Kulifaidi Kufaidi Penzi Lake, Wolper Achukulia Kama Changamoto!

Mrembo na staa wa bongo movies, Jackline  Massawe Wolper ameonyesha kuchukulia ni kama changamoto kitendo cha msanii wa muziki kutoka kundi la makomando Fredy Felix  ambae ni bwa’mdogo “Serengeti Boy” kujinadi hadharani kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wolper huku akielezea njinsi alivyompata na kumsifu kuwa alimpata penzi ambalo hatoweza kulisahau.

Felix aliyasema hayo hivi juzi kati alipokuwa akifanya mahojiano na Global Tv online nakusababisha stori hii kuenea kwa kasi sana...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SERENGETI BOY: NIMELIFAIDI PENZI LA WOLPER!

Na Musa mateja/mchanganyiko11 Siri imefichuka! Bwa’mdogo a.k.a Serengeti Boy kutoka Kundi la Makomando, Fredy Felix amesimulia namna alivyofaidi penzi la staa wa Bongo Movies, Jacqueline Walper Massawe ‘Wolper’. Fredy Felix kutoka Makomando. Akizungumza na GlobalTV Online kwenye mahojiano maalum juzikati, dogo huyo alisema kuwa katika maisha yake ya kimapenzi hakuna mwanamke ambaye aliwahi kutoka naye na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!

"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale:Penzi la Wolper na Nay wa Mitego Kuwekwa Wazi!!

Baada ya kudaiwa kuwa wapenzi na kisha habari hizo kufifia, hatimaye penzi la mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, limeibuka upya ambapo safari hii Nay ameamua kufunguka hadharani.

Kwa mujibu GPL,  wawili hao walianzisha uhusiano wao mwishoni mwa mwaka jana na sasa mapenzi ndiyo yamekolea hadi kufikia hatua ya Nay wa Mitego  kuanika hisia zake mtandaoni.
“Wamekuwa wakibanjuka kwa siri sana si unajua Nay ana mchumba wake...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE AMTETEA SERENGETI BOY WAKE

Stori: Gladness Mallya MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametetea maisha yake ya kimapenzi na Nuh Mziwanda, akisema madai kwamba ni kijana mdogo kuliko yeye, siyo kweli kwani wanalingana umri. Mwanadada anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ “Mimi na Mziwanda wangu tunalingana kiumri lakini...

 

10 years ago

GPL

SERENGETI BOY, MKE WA KIGOGO LIVE

Stori: Waandishi Wetu
KABAANG! Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine (24), mkazi wa mtaa wa Kitangiri jijini Mwanza amenaswa ‘live’ gesti akiwa na mke wa kigogo mmoja (jina kapuni), aitwaye Mwanaidi wakijiandaa kuvunja amri ya sita. Baada ya fumanizi kati ya Serengeti boy aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine na mke wa kogogo. Tukio hilo lilijiri Septemba 18, mwaka huu kwenye gesti moja...

 

10 years ago

GPL

BELLA AANGUKIA KWA SERENGETI BOY

Na Waandishi Wetu/Amani
SABABU za Bella kuachana na mpenzi wake Luten Karama, zimetajwa kuwa ni serengeti boy ambaye ni mwanamuziki anayejulikana kwa jina la Dogo Nasri. Isabela Mpanda, 'Bella' akiwa na  serengeti boy, 'Dogo Nasri'. Sosi wa habari hii alisema kuwa Bella amekuwa akitoka kimapenzi na ‘underground’ huyo na ndiyo maana amekubali kirahisi kuachana na mpenzi wake wa siku nyingi. “Ulishawahi...

 

11 years ago

GPL

SHILOLE AIBUKA NA ‘SERENGETI BOY’ MPYA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya KWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki wa Bongo Fleva, Nouh Mziwanda, Risasi Mchanganyiko limeinasa. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Shilole kwa sasa hasikii wala haoni kwa Nouh pamoja na kwamba wawili hao wanaonekana kuwa na...

 

10 years ago

GPL

HEE! MAMA ASAULA KUMLAANI SERENGETI BOY WAKE

Gabriel Ng’osha Heeh! Makubwa! Mama mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amefanya aibu ya mwaka baada ya kusaula (kuvua) nguo zake na kubaki mtupu, kisa kikidaiwa ni kumlaani ‘serengeti boy’ wake aliyemfanyia kitu mbaya. Mwanamke aliyedaiwa kusahula baada ya kugombana na bwana'ke. Kwa mujibu wa chanzo chetu, mwanamke huyo mbali ya kuwa na mtu wake amedaiwa kuwa na tabia ya kuchepuka na wanaume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani