MZUNGU AINGILIA PENZI LA WEMA

Stori: Erick Evarist MALOVEE? Mzungu aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Zdravko Logarusic ‘Loga’ anadaiwa kuingilia penzi la mwigizaji Wema Sepetu. Ishu hiyo imebumburuka ikiwa ni siku chache tangu Diamond atangaze kuwa hayupo tayari kuoa akidai atashuka kimuziki. Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Zdravko Logarusic ‘Loga' akipata ukodaki na Wema Sepetu ndani ya ofisi za Global. KUMBE ALIMZIMIA KITAMBO ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MAMA LORAA AINGILIA KATI PENZI LA ISABELA, KALAMA!
11 years ago
GPL
SNURA MUSHI AINGILIA KATI BIFU LA WEMA, KAJALA
11 years ago
GPL
DIAMOND ATESEKA NA PENZI LA WEMA!
11 years ago
GPL
PENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!
10 years ago
GPL
DIMPOZ ANOGEWA NA PENZI LA WEMA
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
Ommy Dimpoz Anogewa na Penzi la Wema!
Mahaba: Mwanamuziki Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ameamua kukiri wazi kuwa ananogewa na penzi la Wema Sepetu ‘Madame’.
Akizungumza na wa GPL Februari 11, mwaka huu maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Dimpoz alisema anawashangaa sana watu kuendelea kumsakama juu ya uhusiano wake na Madame wakati yeye anafahamu shemeji yake kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni Zarina Hassan ‘Zari’ kwa sasa.
“Nashindwa kuelewa kuna watu wamekuwa wakinitumia ujumbe eti Diamond atanimaindi kwa ukaribu wangu na...
11 years ago
GPL
BABY MADAHA ATAMANI PENZI LA WEMA, DIAMOND
10 years ago
GPL
PENZI LAKE NA WEMA ,KUMBE DIMPOZ BOYA TU
10 years ago
GPL
NUH AMUOMBA WEMA PENZI, SHILOLE AZIMIA!