Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!

Na Imelda Mtema
SIJUI ni hasira au nini! Mama mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu ‘Mama Wema’ amemshika uchawi mpenzi wa bintiye, Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku akilaani vikali kitendo cha kumrudia mwanaye akidai lengo lake ni kumharibia maisha, Ijumaa Wikienda lina mkasa kamili mkononi. Wema na Diamond. Mama Wema alitoa hisia zake hizo juzi jijini Dar es Salaam alipoongea kwa simu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DIAMOND ATESEKA NA PENZI LA WEMA!

Stori: Richard Bukos
Imebumburuka kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’ kumbe anateseka na penzi la mwandani wake, Beautiful Onyinye Wema Isaac Sepetu, Amani lina mkanda kamili. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’ akwa ameshika gauni la mpenzi wake. YATOKANAYO
Kwa muda mrefu kumekuwa na madai kuwa, Diamond amekuwa akiumia na kuvumilia anapoitwa majina mabaya huku...

 

11 years ago

GPL

AUNT ALIANGUSHIA MAOMBI PENZI LA DIAMOND, WEMA

Stori: Mayasa Mariwata
KUTOKA moyoni? Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa siku zote amekuwa akimuombea dua shosti wake, Wema Sepetu ‘Madam’ na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ uhusiano wao udumu. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekie l(kulia) akiwa na shosti yake Wema sepetu.
Aunt alifunguka hayo mara baada ya kuulizwa na mwanahabari wetu juu ya mtazamo wake kuhusu mapenzi...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA ATAMANI PENZI LA WEMA, DIAMOND

Stori: Imelda Mtema
MWANAMUZIKI mwenye vituko kila kukicha Bongo,  Baby Joseph Madaha, ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kuwa kila kukicha anayatamani mapenzi ya Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kama angekuwa yeye. Mwanamuziki mwenye vituko kila kukicha Bongo,  Baby Joseph Madaha akipozi. Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema kuwa kila akiwaona Wema na Diamond anatamani sana na yeye awe...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na Diamond. Ni tajiri balaaa!

INA Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.

Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.

Uhusiano...

 

11 years ago

GPL

‘UCHAWI’ WATAJWA PENZI LA RAY, CHUCHU

Stori: SHAKOOR JONGO NA MUSA MATEJA
‘UCHAWI’ umetajwa kwenye mapenzi ya staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na ubavu wake wa sasa, Chuchu Hans. Staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, mapenzi ya Ray kwa Chuchu ni makubwa sana kiasi kwamba hayawezi kuwa ya hivihivi tu kwani msichana huyo ni mtoto wa Kitanga anayejua...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AJIFUNZA UCHAWI

Mwandishi Wetu Nyuma ya safari za mara kwa mara za Mbongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ za nchini Nigeria, kumeibuka madai mazito kuwa, anapokwenda huko hufundishwa mbinu za uchawi ili kukubalika duniani kama mastaa wa huko, Risasi Jumatano limenyetishwa. Kwa mujibu wa chanzo kimoja, Diamond anafundishwa uchawi na Wanigeria kwani ndiyo taswira ya sanaa yao inavyoakisi duniani ambapo ukiwa nchi nyingine...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, KIBA UCHAWI MTUPU!

Na Waandishi Wetu
HALI inazidi kuwa mbaya kwa mastaa wawili wa muziki wa Bongo Fleva wanaogombea unyota kimuziki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba, safari hii yameibuka mapya kwa kila msanii kuogopa kumshika mkono mwenzake kutokana na imani za kishirikina. Mashabiki wa Mbongofleva Ali kiba waliionyesha kumkubali zaidi kuliko, 'Daimond… ...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA AMSHIKA UCHAWI DIAMOND

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ‘amemshika uchawi’ msanii mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kufuatia madai kuwa, kuna msanii maarufu Bongo alikwenda kwa mganga wa kienyeji Tanga akitaka kumfanyizia ‘madongoloji’ mrembo huyo ili mambo yake yaende ndivyo sivyo. Baby Joseph Madaha. ILIKUWAJE KWANI?
Desemba 22, mwaka jana, mtu mmoja aliyedai ni sangoma...

 

11 years ago

GPL

MZUNGU AINGILIA PENZI LA WEMA

Stori: Erick Evarist MALOVEE? Mzungu aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Zdravko Logarusic ‘Loga’ anadaiwa kuingilia penzi la mwigizaji Wema Sepetu.
Ishu hiyo imebumburuka ikiwa ni siku chache tangu Diamond atangaze kuwa hayupo tayari kuoa akidai atashuka kimuziki. Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Zdravko Logarusic ‘Loga' akipata ukodaki na Wema Sepetu ndani ya ofisi za Global. KUMBE ALIMZIMIA KITAMBO
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani