‘UCHAWI’ WATAJWA PENZI LA RAY, CHUCHU
Stori: SHAKOOR JONGO NA MUSA MATEJA ‘UCHAWI’ umetajwa kwenye mapenzi ya staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na ubavu wake wa sasa, Chuchu Hans. Staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, mapenzi ya Ray kwa Chuchu ni makubwa sana kiasi kwamba hayawezi kuwa ya hivihivi tu kwani msichana huyo ni mtoto wa Kitanga anayejua...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies05 Nov
Penzi la Ray, Chuchu… Chali
DAH! Imebuma! Lile penzi lililoziba masikio ya wengi kati ya waigizaji wakubwa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans linadaiwa kuanguka chali kufuatia mume wa mwanamke huyo kutua nchini kimyakimya na hivyo kuwa wigo wa wawili hao kukutana kama zamani.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu zaidi na Chuchu (jina lipo), ujio wa mwanaume huyo umemfanya Chuchu kuwa mbali na Ray hivyo penzi lao kuparaganyika.
“Yaani ngoma ilikuwa nzito. Ndiyo maana siku hizi Ray na Chuchu hawako beneti. Hata...
11 years ago
GPLCHUCHU ARINGISHIA PENZI LA RAY
10 years ago
GPLMTABIRI ALITABIRIA PENZI LA RAY, CHUCHU
9 years ago
GPLPENZI LA RAY, CHUCHU CHALI JOHARI MENO 32 NJE
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka
Inasemekana penzi kati ya waigizaji Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...
11 years ago
GPLCHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU
11 years ago
GPLAJALI, VIFO KWA WAIMBA INJILI UCHAWI WATAJWA
11 years ago
GPLPENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!
10 years ago
GPLRAY: CHUCHU SI MPITA NJIA