MTABIRI ALITABIRIA PENZI LA RAY, CHUCHU
![](http://api.ning.com:80/files/DtcI2O2Ry7BKyZqpLqJtoaeLeMUCQrE3GiX33hbqo0lm6PO8qx8Btpuv7800ieG65rifHJJPiiIqNGX439DIgDBy*e-I59CF/ray.jpg)
Na Gladness Mallya MTABIRI maarufu nchini, Hassan Yahya Hussein amelitabiria penzi la waigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans kuwa litakuwa na mafanikio makubwa kwani wanaendana. Waigizaji wa filamu Bongo Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans wakipozi. Akizungumza na Amani, Hussein alisema kinyota Ray nyota yake ni aina ya Mashuke ambapo Chuchu nyota yake ni Mapacha… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnWtmstI26KCL4R8O5*jDHcEuhNFcr7n2j9numlhuhdPSKq0s-VL8*iyYQ69DYqnbnbjEtXyxydgiLAIz64DpmI9/chuchu.jpg)
CHUCHU ARINGISHIA PENZI LA RAY
9 years ago
Bongo Movies05 Nov
Penzi la Ray, Chuchu… Chali
DAH! Imebuma! Lile penzi lililoziba masikio ya wengi kati ya waigizaji wakubwa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans linadaiwa kuanguka chali kufuatia mume wa mwanamke huyo kutua nchini kimyakimya na hivyo kuwa wigo wa wawili hao kukutana kama zamani.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu zaidi na Chuchu (jina lipo), ujio wa mwanaume huyo umemfanya Chuchu kuwa mbali na Ray hivyo penzi lao kuparaganyika.
“Yaani ngoma ilikuwa nzito. Ndiyo maana siku hizi Ray na Chuchu hawako beneti. Hata...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfiePDWhxgTgxD7rDGxvPeUSopHTFf*QGSidaQ1*gyc6cf*w6*FBZMV6jcmETThgy9Gq-akIfXwPc5ofIqdVOQgS/chuchu.jpg)
‘UCHAWI’ WATAJWA PENZI LA RAY, CHUCHU
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cDEmeB8bWGTXDEHRlqt*i5gz2sd8D0J-*qJL3JWRa1ixPlNiSzUwfi5P5GP38v7OWNrOcmftue1xOq6kq6pX9xfzZKt*PBsx/chuchu.jpg?width=650)
PENZI LA RAY, CHUCHU CHALI JOHARI MENO 32 NJE
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka
Inasemekana penzi kati ya waigizaji Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcreM0c1gpUfwU*9fPZNSDp8jEe7K2VgKoF3-EGhGeUqn-mbVKjY6ZF*n2qfJYVD2zHLWAi9COROLFB4wrXpzx-d/chuhcu.jpg?width=650)
CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0BMl9*Jv7CjNUmagNWeblx0AQvRSPEnbH4v0pZzLFbN-YrVG8J0k4VwJTkB7JC9nI3-lvu6behrZZGDkgcbRDyb/JUMAMOSI.jpg)
CHUCHU AMFUATA RAY UKAWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6db7jayaCRoC2zGr2yLUjMhact411lVYXkFF8pObpn6XM8EpRbuVphY8eR*vz5n11j6u0Jq-gEKHNHp8tAJ90H84/ray.jpg?width=650)
RAY, CHUCHU HANS NI PIGO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtEwF*00tFiC9*CcSUdJ1hOELA3fuHDuHPalNLBjxu2n8s-HmLrovTcwsBuhN5QkWgtaG9FcCiyIkWp2TxaA5exom/VincentKigosi5312.jpg?width=650)
RAY AFICHUA SIRI YA CHUCHU!