Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND, KIBA UCHAWI MTUPU!

Na Waandishi Wetu
HALI inazidi kuwa mbaya kwa mastaa wawili wa muziki wa Bongo Fleva wanaogombea unyota kimuziki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba, safari hii yameibuka mapya kwa kila msanii kuogopa kumshika mkono mwenzake kutokana na imani za kishirikina. Mashabiki wa Mbongofleva Ali kiba waliionyesha kumkubali zaidi kuliko, 'Daimond… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DIAMOND AJIFUNZA UCHAWI

Mwandishi Wetu Nyuma ya safari za mara kwa mara za Mbongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ za nchini Nigeria, kumeibuka madai mazito kuwa, anapokwenda huko hufundishwa mbinu za uchawi ili kukubalika duniani kama mastaa wa huko, Risasi Jumatano limenyetishwa. Kwa mujibu wa chanzo kimoja, Diamond anafundishwa uchawi na Wanigeria kwani ndiyo taswira ya sanaa yao inavyoakisi duniani ambapo ukiwa nchi nyingine...

 

11 years ago

GPL

PENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!

Na Imelda Mtema
SIJUI ni hasira au nini! Mama mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu ‘Mama Wema’ amemshika uchawi mpenzi wa bintiye, Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku akilaani vikali kitendo cha kumrudia mwanaye akidai lengo lake ni kumharibia maisha, Ijumaa Wikienda lina mkasa kamili mkononi. Wema na Diamond. Mama Wema alitoa hisia zake hizo juzi jijini Dar es Salaam alipoongea kwa simu...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA AMSHIKA UCHAWI DIAMOND

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ‘amemshika uchawi’ msanii mwenzake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kufuatia madai kuwa, kuna msanii maarufu Bongo alikwenda kwa mganga wa kienyeji Tanga akitaka kumfanyizia ‘madongoloji’ mrembo huyo ili mambo yake yaende ndivyo sivyo. Baby Joseph Madaha. ILIKUWAJE KWANI?
Desemba 22, mwaka jana, mtu mmoja aliyedai ni sangoma...

 

10 years ago

GPL

UCHAWI! UCHAWI! HAKIMU AFIA MAHAKAMANI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HAYA ndiyo majanga! Hali ya hewa ilibadilika ghafla katika Mahakama ya Mwanzo Ukonga, Dar kufuatia Mheshimiwa Hakimu Rogart Venance Alphonce (54) kuugua ghafla, kudondoka na kutokwa povu mdomoni na puani, hatimaye kufariki dunia! Inauma sana! Marehemu Hakimu Rogart Venance Alphonce enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha na lililoibua vilio kwa watumishi wa mahakama hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAWI:1 NINI MAANA YA UCHAWI?


Al Azhari ambaye nimtungaji wa kamusimaarafu ya kiarabu iitwayo“LisanulArab” amesema:“Neno “Uchawi”, kwakiarabu “As Sihr”, maanayake ni kitendo chakujikurubisha na shetani nakwa msaada wake(shetani)”, na akasema piakuwa; “Uchawi nikulibadilisha jambo mbali nauhakika wake, nako nikuwadhihirishia watu jambolisilo la kweli wakalionakuwa ni la kweli.”Ama Sahaba Ibni Abbas(Radhiya Llaahu ‘anhu)amesema:"Uchawi ni kuidhirisha batilikatika sura ya haki."Hayo ni katika kamusi zalugha.Amma katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni mpambano wa Ali Kiba V Diamond

Kitendawili cha muda mrefu cha ‘nani mbabe kati ya Ali Kiba na Diamond’ huenda kikapata moja ya majawabu yake leo usiku, wakati wa tamasha la Tuzo za Muziki za Kilimanjaro (KTMA) zitakazofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City.

 

9 years ago

GPL

WIZKID AWAKUBALI DIAMOND, KIBA

Wizkid. Mkali wa muziki toka Naija anayetamba kwa kibao chake cha Ojuelegba, Wizkid ameonesha kuwakubali wanamuziki kutoka Tanzania ambao ni Diamond Platnumz na Ali Kiba jambo lililoonesha jinsi muziki wa Bongo Fleva ulivyofika mbali. Diamond Platnumz. Wizkid alisema hayo katika shoo iliyofanyika katika Viwanja vya Leaders jijini Dar wikiendi iliyopita ambapo mbali na kuwakubali wasanii hao alionesha mapenzi yake ya dhati kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani