AUNT ALIANGUSHIA MAOMBI PENZI LA DIAMOND, WEMA

Stori: Mayasa Mariwata KUTOKA moyoni? Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa siku zote amekuwa akimuombea dua shosti wake, Wema Sepetu ‘Madam’ na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ uhusiano wao udumu. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekie l(kulia) akiwa na shosti yake Wema sepetu. Aunt alifunguka hayo mara baada ya kuulizwa na mwanahabari wetu juu ya mtazamo wake kuhusu mapenzi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
DIAMOND ATESEKA NA PENZI LA WEMA!
11 years ago
GPL
PENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!
11 years ago
GPL
BABY MADAHA ATAMANI PENZI LA WEMA, DIAMOND
11 years ago
GPL
WEMA, DIAMOND, AUNT WANATAJWA KWENYE MICHEPUKO HATARI!
10 years ago
Bongo Movies13 Jan
Mfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na Diamond. Ni tajiri balaaa!
INA Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.
Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.
Uhusiano...
11 years ago
GPL
AUNT EZEKIEL: NITAHAKIKISHA NAMPA PENZI MUME WA MTU
10 years ago
Bongo Movies02 Nov
Aunt Ezekiel Awapa Makavu Wanaoponda Penzi Lake na Baba Cookie
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ ambaye amezaa na mcheza shoo wa msanii Diamond Platnumz, Moses Iyobo amewapa makavu wale wote wanaodani kuwa amepotea kwa kitendo chake cha kuzaa na mcheza shoo huyo.
Kupitia ukurasa wake mtandaon, Aunt aliweka picha hiyo hapo juu ya Iyobo na kuandika haya.
“Kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani nyinyi na Maboss wenu mimi na Dancer wangu wote tunatembelea makalio pumbavuu kaza buti Dady Cookie wangu nakupenda hvyohvyo.....”
Ujumbe...
10 years ago
GPL
DIMPOZ ANOGEWA NA PENZI LA WEMA
11 years ago
GPL
MZUNGU AINGILIA PENZI LA WEMA