WEMA, DIAMOND, AUNT WANATAJWA KWENYE MICHEPUKO HATARI!
![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXW1PDYpbfm-HjZSSANLEwnGei7P0ARwFM1*86smzEYI41bMBgr7U4VX*Xjo9udZKnqKZ2t2Q8mkafxzVY2Ky63i/mchepuko.jpg)
Stori: Shakoor Jongo Ni tamaa ya ngono au ni nini? Hivyo ndivyo unavyoweza kujiuliza baada ya kubainika kwamba mastaa watatu Bongo, Wema Isaac Sepetu, mpenzi wake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Aunt Ezekiel Grayson wanatajwa kwenye mchepuko hatari wa kuzungukana kimalovee, Ijumaa lina kila sababu ya kukujuza. Mastaa watatu Bongo, Wema Isaac Sepetu, mpenzi wake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0tgqoPztJ6LKlX-Ctfl2I-P4QjvwtLSSuUaMaogiVKBbPCODHqzMB89DMmL-6K0cRJF4vKLAlHH67vMHh4qr*ktw/AUNT.jpg)
AUNT ALIANGUSHIA MAOMBI PENZI LA DIAMOND, WEMA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cDEmeB8bWGRcW-LP9USs9kmVbo*WJT31W4vfF5BjvMRtvagKpIM9GLJbHNNSlfTaND5bImSBrXVuexhxG7IRSp4LqYjUMi-P/wema.jpg?width=650)
AUNT: NAAPA WEMA ATANIONA KWENYE KIFO
10 years ago
Bongo Movies07 Jan
Kicheko cha Wema na Aunt Ezekiel Kwenye Kaburi la Ngwea Chawashangaza Wengi!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, waigizaji Wema Sepetu na rafiki yake Aunt Ezekiel wameonekana wa kiangua kicheko na kutuma mesegi kwa simu wakiwa juu ya kaburi la aliekuwa msanii wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’.
Kwa mujibu wa GPL, Tukio hilo litokea Januari Mosi, mwaka huu ambapo Wema akiwa na team yake nzima ya Endless Fame walitembea kaburini hapo eneo la makaburi ya Kihonda mjini Morogoro wakiwa wakitokea Dodoma kuja Dar.
Inaelezwa kwamba awali inadaiwa kuwa, ...
10 years ago
Bongo Movies15 Aug
HATARI!! Diamond aamua kuwapa ''makavu live'' team Wema baada ya wao kumdiss.
Baada ya mashabiki wa mwanadada Wema "kumjia juu mwanamuziki Diamond Platnumz" kuhusu tuhuma za yeye kumtumia mwanadada huyu kimwili zaidi bila kumuendeleza, hatimaye raisi huyu wa kundi la WCB ameamua nay eye kufunguka haya mazito juu ya kauli hizo. Kupitia ukurasa wake wa mtandao ule maarufu wa kijamii Diamond ameandika haya..
“Nafkiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa Msanii wenu... kama mngemshauri apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze Stareh zisizo na Faida,...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/L0tVKbTxNvs/default.jpg)
10 years ago
CloudsFM29 Sep
DIAMOND AMZAWADIA WEMA ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemzawadia gari aina ya Nissan Murano mpenzi wake Wema Isaac Sepetu katika bethidei yake jana.