AUNTY ATAMANI KUZAA
![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZeJXxZIhiVyQb*grZjTC*jzu-VALw0e5-smbnNXBY3Ezl82Vyc70yk4K8PPFaIpFRdhuq-sjDb36-PL258hEynj/ANTI.jpg)
Stori: Maria Halimoja Mkali wa sinema za Kibongo, Aunty Ezekiel amesema anatamani iwe leo au kesho apate mtoto kwani umri wake unaruhusu.Akipiga stori mbili-tatu na paparazi wetu, Aunty alisema kuwa anatamani kuwa mama si kwa kufuata mkumbo bali anataka kuwa mama kwani sasa ni muda muafaka kwake. Mkali wa sinema za Kibongo, Aunty Ezekiel “Natamani kwelikweli na mimi siku moja niwe mama wa mtoto sema tu sijabahatika kupata...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Diamond atamani kuzaa na Wema
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’, amesema anatamani kuwa na mtoto ili aweze kwenda sawa na wasanii wengine na angependa mpenzi wake Wema Sepetu ndiye...
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Cassim Mganga, Aunty Ezekiel watembelea mjengo mweupe, Aunty asaini kitabu ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, Dc
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
Aunty Ezekiel akipata picha nje ya mjengo wa Obama.
Shabiki akipata picha...
10 years ago
MichuziCASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL WATEMBELEA MJENGO MWEUPE, AUNTY ATIA SAINII KITABU UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI, WASHINGTON, DC
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZbU7afPnaG4t12G-qjcGayCeOBsixNEqQj1tOx6nStnvEFK9Lj-MIyOMCqEB-wGgxOik00Zwbmigvn1BARlFZ-z/diamond.jpg?width=650)
DIAMOND ATAMANI USHOGA!
10 years ago
Mtanzania20 May
Batuli atamani watoto mapacha
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSANII wa filamu za kibongo, Yobnesh Yossuf ‘Batuli’, amesema anatamani kupata watoto mapacha wa kike katika maisha yake.
Akizungumza juzi alipotembelea ofisi za gazeti hili, mrembo huyo mwenye watoto wawili wa kiume, alisema moja ya mipango yake ni kupata mtoto mwingine wa kike, tena ikiwezekana mapacha.
“Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kupata watoto wa kiume wawili, lakini bado nina mpango wa kuongeza wengine wa kike na nitafurahi nikipata mapacha,...
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Baby Madaha atamani mtoto
NA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto. Akizungumza na MTANZANIA jana, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha. Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60esFFMuqpM4kBHEF*f6AJALfdQplSXdOOYOcWGK9KKnUET*7HZKgiup*WEBQ1Nu*SiWdbn*tjBYkaGGcbI6t1T1R/wastara.jpg?width=650)
WASTARA ATESEKA, ATAMANI KUUA!
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Shilole atamani ubunge 2015
STAA wa muziki wa mduara anayefanya vizuri, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amesema anatarajia kugombea ubunge katika jimbo analotoka la Igunga mkoani Tabora katika uchaguzi wa mwaka 2015. Akizungumza jijini Dar es...