Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muswada kupinga ushoga

>Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Ezekia Wenje amewasilisha bungeni kusudio la kupeleka muswada wa kukataza na kudhibiti vitendo vya ushoga nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MEMBE APONGEZA ANGLIKANA KUPINGA USHOGA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamillius Membe akizindua sherehe ya miaka 50 ya Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano, jijini Dar es salaam jana Jumapili, Januari 4, 2015, akishuhudiwa na Dk. Valentine Mokiwa, Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam. Waziri Membe akizungumza katika sherehe hiyo Wachungaji wakimsikiliza Mheshimiwa Membe kwa makini wakati akiongea. Masista nao wakifuatilia Askofu Mokiwa akitoa...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE APONGEZA KANISA LA ANGLIKANA KUPINGA USHOGA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, amelipongeza Kanisa la Anglikana Tanzania kwa kusimama kidete kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani yalipounga mkono suala hilo.Akizindua sherehe za Miaka Hamsini tangu kuanzishwa kwa Dayosisi ya Dar es Salaam ya Kanisa hilo jana, Mhe. Membe alisema msimamo huo wa Kanisa na Watanzania uliipa serikali nguvu kukataa shinikizom kutoka nchi za Magharibi kwamba iidhinishe ushoga hapa...

 

10 years ago

Mwananchi

Moat yatuma timu bungeni kupinga muswada wa habari

>Chama cha Wamiliki wa vyombo vya Habari Tanzania (Moat) kimeunda timu maalumu itakayokwenda bungeni  Dodoma kuwashawishi wabunge wasiupitishe muswada wa sheria wa vyombo vya habari baada ya kubaini umejaa kasoro.

 

11 years ago

GPL

DIAMOND ATAMANI USHOGA!

NYOTA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewashangaza watu kufuatia kuvaa wigi (nywele bandia) la mpenzi wake, Wema Isaac Sepetu, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni dalili ya kutamani mambo ya ushoga. Diamond alinaswa akiwa amevaa wigi hilo kichwani kisha kupiga nalo picha. ILIVYOKUWA
Hivi karibuni, Diamond alinaswa akiwa amevaa wigi hilo kichwani kisha kupiga nalo picha huku Wema akilitafuta ili...

 

9 years ago

Mwananchi

Kinachochochea ushoga kijamii

Ukifanya utafiti katika jamii mbalimbali duniani utabaini kuwa suala la ushoga linaongezeka kwa kasi.

 

11 years ago

Habarileo

NGO ya ushoga yafutwa

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imelifutia usajili Shirika la Tanzania Sisi kwa Sisi Foundation (TSSF), kwa tuhuma ya kujihusisha na kuhamasisha ushoga nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Maaskofu wakataa ushoga Uingereza

>Maaskofu wakuu nchini Uingereza wamewaambia viongozi wa dini kwamba hawataruhusiwa kuingia katika ndoa za jinsia moja.

 

11 years ago

BBCSwahili

Washukiwa wa Ushoga matatani Nigeria

Wanaume 11 wanaoshukiwa kushiriki mapenzi ya jinsia moja wamefikishwa katika mahakama ya kiisilamu Kaskazini mwa nchi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani