Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moat yatuma timu bungeni kupinga muswada wa habari

>Chama cha Wamiliki wa vyombo vya Habari Tanzania (Moat) kimeunda timu maalumu itakayokwenda bungeni  Dodoma kuwashawishi wabunge wasiupitishe muswada wa sheria wa vyombo vya habari baada ya kubaini umejaa kasoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Muswada wa habari waondolewa bungeni

agNa Fredy Azzah, Dodoma

HATIMAYE Serikali imekubali kuuondoa muswada wa habari na ule wa vyombo vya habari iliyopangwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na badala yake itasomwa kwa mara ya kwanza kisha wadau watapata nafasi ya kuijadili.

Ratiba ya awali ilionyesha kuwa Machi 31, mwaka huu Serikali ilitarajiwa kuwasilisha muswada wa Sheria ya kupata Habari wa mwaka 2015 na ule wa Vyombo vya Habari wa mwaka 2015 yote kwa hati ya dharura.

Ratiba iliyotolewa jana ilikuwa haina miswada hiyo,...

 

10 years ago

Mtanzania

Muswada wa habari kuwasilishwa bungeni

Na Debora Sanja, Dodoma
HATIMAYE Muswada wa Sheria ya kupata Habari na Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari ya Mwaka 2015, inatarajiwa kuwasilishwa bungeni katika mkutano wa 19 wa Bunge unaoanza leo mjini hapa.
Miswada hiyo inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na inakusudiwa kupitishwa na Bunge katika hatua zake zote.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa mjini hapa jan,a mbali na miswada hiyo kuwasilishwa, pia miswada mingine minne inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura.
“Miswada...

 

10 years ago

Habarileo

Muswada wa habari waondolewa bungeni

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaSERIKALI imeondoa muswada wa Sheria ya Haki ya Upatikanaji Habari wa mwaka 2015, uliokuwa usomwe kwa mara ya pili bungeni na hivyo utasubiri hadi Bunge jipya litakapokaa, baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YAUONDOA MUSWADA WA HABARI BUNGENI

Waziri wa nchi ofisi ya rais (kazi maalumu) Prof Mark Mwandosya(picha kutoka Maktaba)


Serikali imeuondoa muswaada wa sheria ya haki ya kupata habari 2015 uliokuwa uwasilisilishwe na kujadiliwa katika mkutano unaoendelea wa bunge mjini Dodoma ili kutoa nafasi kwa wadau kutoa maoni yao.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (asiye na wizara maalum) Prof Mark Mwandosya ameliambia bunge leo asubuhi kuwa serikali imefikia uamuzi huo kutokana na maoni ya kamati ya kudumu ya bunge ya maendeleo ya jamiii...

 

11 years ago

Habarileo

Muswada wa vyombo vya habari kufikishwa bungeni

Juma NkamiaMUSWADA wa Sheria ya Kusimamia Vyombo vya Habari umekamilika baada ya kupitia hatua zote muhimu na unatarajia kufikishwa bungeni wakati wowote mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau wapania kukwamisha Muswada wa Habari bungeni

>Jopo la wadau wa habari kutoka asasi, taasisi na vyombo vya habari nchini, limepanga kuwatumia wabunge kuwashawishi wakatae kupitisha muswada wa sheria ya habari uliopangwa kuwasilishwa bungeni kwa hati ya dharura.

 

10 years ago

Vijimambo

MOAT YAUPINGA MSWADA WA SHERIA YA VYOMBO VYA HABARI

 Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi. Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.

 

11 years ago

Mwananchi

Muswada kupinga ushoga

>Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Ezekia Wenje amewasilisha bungeni kusudio la kupeleka muswada wa kukataza na kudhibiti vitendo vya ushoga nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani