Muswada wa habari waondolewa bungeni
Na Fredy Azzah, Dodoma
HATIMAYE Serikali imekubali kuuondoa muswada wa habari na ule wa vyombo vya habari iliyopangwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na badala yake itasomwa kwa mara ya kwanza kisha wadau watapata nafasi ya kuijadili.
Ratiba ya awali ilionyesha kuwa Machi 31, mwaka huu Serikali ilitarajiwa kuwasilisha muswada wa Sheria ya kupata Habari wa mwaka 2015 na ule wa Vyombo vya Habari wa mwaka 2015 yote kwa hati ya dharura.
Ratiba iliyotolewa jana ilikuwa haina miswada hiyo,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo27 Jun
Muswada wa habari waondolewa bungeni
SERIKALI imeondoa muswada wa Sheria ya Haki ya Upatikanaji Habari wa mwaka 2015, uliokuwa usomwe kwa mara ya pili bungeni na hivyo utasubiri hadi Bunge jipya litakapokaa, baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-NqLJvGs0VNQ/VNR-f0EwSZI/AAAAAAAAn4U/fd6lRz2ooXE/s72-c/Waislamu.jpg)
Muswada wa Mahakama ya Kadhi Waondolewa Bungeni
![](http://2.bp.blogspot.com/-NqLJvGs0VNQ/VNR-f0EwSZI/AAAAAAAAn4U/fd6lRz2ooXE/s1600/Waislamu.jpg)
10 years ago
Mtanzania17 Mar
Muswada wa habari kuwasilishwa bungeni
Na Debora Sanja, Dodoma
HATIMAYE Muswada wa Sheria ya kupata Habari na Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari ya Mwaka 2015, inatarajiwa kuwasilishwa bungeni katika mkutano wa 19 wa Bunge unaoanza leo mjini hapa.
Miswada hiyo inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na inakusudiwa kupitishwa na Bunge katika hatua zake zote.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa mjini hapa jan,a mbali na miswada hiyo kuwasilishwa, pia miswada mingine minne inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura.
“Miswada...
10 years ago
VijimamboSERIKALI YAUONDOA MUSWADA WA HABARI BUNGENI
Serikali imeuondoa muswaada wa sheria ya haki ya kupata habari 2015 uliokuwa uwasilisilishwe na kujadiliwa katika mkutano unaoendelea wa bunge mjini Dodoma ili kutoa nafasi kwa wadau kutoa maoni yao.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (asiye na wizara maalum) Prof Mark Mwandosya ameliambia bunge leo asubuhi kuwa serikali imefikia uamuzi huo kutokana na maoni ya kamati ya kudumu ya bunge ya maendeleo ya jamiii...
11 years ago
Habarileo24 May
Muswada wa vyombo vya habari kufikishwa bungeni
MUSWADA wa Sheria ya Kusimamia Vyombo vya Habari umekamilika baada ya kupitia hatua zote muhimu na unatarajia kufikishwa bungeni wakati wowote mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi21 Mar
Wadau wapania kukwamisha Muswada wa Habari bungeni
10 years ago
Mwananchi27 May
Moat yatuma timu bungeni kupinga muswada wa habari
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Wabunge 33 wapitisha muswada bungeni
10 years ago
Habarileo26 Jun
Muswada wa kodi, ushuru watua bungeni
SERIKALI imewasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Fedha ya Mwaka 2015 wenye lengo la kuzifanyia marekebisho sheria 16 zinazohusu masuala ya fedha, kodi, ushuru na tozo mbalimbali nchini.