Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muswada wa kodi, ushuru watua bungeni

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.SERIKALI imewasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Fedha ya Mwaka 2015 wenye lengo la kuzifanyia marekebisho sheria 16 zinazohusu masuala ya fedha, kodi, ushuru na tozo mbalimbali nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Muswada wa udhibiti silaha watua bungeni

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame SilimaSERIKALI imewasilisha Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa mwaka 2014 bungeni, ambao pamoja na kuweka kikomo cha umri wa kumiliki silaha, pia umepiga marufuku na kudhibiti uingizwaji na uuzwaji wa silaha bandia nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Muswada sheria ya malipo ya fedha watua bungeni

SERIKALI itawasilisha muswada wa sheria ya mifumo ya malipo ya fedha ambayo itasimamia mifumo ya malipo ya elektroniki, ikiwemo utumaji wa fedha kwa kutumia simu za kiganjani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muswada wa kodi Novemba

SERIKALI imesema italeta bungeni muswada wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) Novemba ili Bunge liweze kuupitisha kuwa sheria. Kauli hiyo ilitolewa bungeni mjini hapa jana na Waziri wa Fedha...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: IJUE NAMNA YA KUPATA MSAMAHA WA KODI NA USHURU BANDARINI.

Na Bashir YakubSheria  ya  Uwekezaji  ya  Mwaka  1977 imehamasisha  uwekezaji  kwa  wazawa  na  wasio  wazawa  kwa  kuweka  mazingira  rafiki  kwa  wajasiriamali katika  nyanja  zote.  Wapo  ambao  wanajua fursa hizi  na wamezitumia   kujipatia  maendeleo  na  wapo  ambao  hawajatumia  fursa  hizi.  Nataka  niseme  kitu  kimoja  kuwa  wazawa  wengi  wameshindwa  kufanikiwa  kwa  kutojua  uwepo wa fursa. Wengi  wangependa  kutumia  fursa   kama  zipo  lakini  hawajui ziko  wapi na ...

 

11 years ago

Mwananchi

Rais asaini muswada kuondoa kodi ya simu

Rais Jakaya Kikwete ametia saini hati ya dharura (Certificate of Urgency) ili Muswada wa Fedha wa Mwaka 2013 ufanyiwe marekebisho ya kuondoa tozo ya kodi kwa kadi za simu.

 

10 years ago

Habarileo

Muswada wa habari waondolewa bungeni

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaSERIKALI imeondoa muswada wa Sheria ya Haki ya Upatikanaji Habari wa mwaka 2015, uliokuwa usomwe kwa mara ya pili bungeni na hivyo utasubiri hadi Bunge jipya litakapokaa, baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

10 years ago

Mtanzania

Muswada wa habari waondolewa bungeni

agNa Fredy Azzah, Dodoma

HATIMAYE Serikali imekubali kuuondoa muswada wa habari na ule wa vyombo vya habari iliyopangwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na badala yake itasomwa kwa mara ya kwanza kisha wadau watapata nafasi ya kuijadili.

Ratiba ya awali ilionyesha kuwa Machi 31, mwaka huu Serikali ilitarajiwa kuwasilisha muswada wa Sheria ya kupata Habari wa mwaka 2015 na ule wa Vyombo vya Habari wa mwaka 2015 yote kwa hati ya dharura.

Ratiba iliyotolewa jana ilikuwa haina miswada hiyo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge 33 wapitisha muswada bungeni

Wabunge 33 jana walipitisha Muswada wa Benki ya Posta Tanzania (kufuta sheria iliyoanzisha Sheria ya Benki ya Posta na kuweka masharti ya mpito).

 

10 years ago

Mtanzania

Muswada wa habari kuwasilishwa bungeni

Na Debora Sanja, Dodoma
HATIMAYE Muswada wa Sheria ya kupata Habari na Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari ya Mwaka 2015, inatarajiwa kuwasilishwa bungeni katika mkutano wa 19 wa Bunge unaoanza leo mjini hapa.
Miswada hiyo inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na inakusudiwa kupitishwa na Bunge katika hatua zake zote.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa mjini hapa jan,a mbali na miswada hiyo kuwasilishwa, pia miswada mingine minne inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura.
“Miswada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani