Muswada wa Mahakama ya Kadhi Waondolewa Bungeni
![](http://2.bp.blogspot.com/-NqLJvGs0VNQ/VNR-f0EwSZI/AAAAAAAAn4U/fd6lRz2ooXE/s72-c/Waislamu.jpg)
Muswada wa Sheria ya kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara hautajadiliwa katika mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma baada ya serikali kuuondoa kwa maandalizi zaidi.Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, alisema jana usiku kuwa wameamua kuuondoa muswada huo ili kupata fursa ya kutoa elimu zaidi kwa viongozi wa dini na kuufanyia marekebisho baadhi ya maeneo.Alisema serikali inatarajia kuurejesha tena bungeni mwezi ujao. Hata hivyo, habari za uhakika kutoka Dodoma zinasema...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Feb
Serikali yauchomoa Muswada wa Mahakama ya Kadhi bungeni
10 years ago
Mtanzania28 Mar
Muswada wa habari waondolewa bungeni
Na Fredy Azzah, Dodoma
HATIMAYE Serikali imekubali kuuondoa muswada wa habari na ule wa vyombo vya habari iliyopangwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na badala yake itasomwa kwa mara ya kwanza kisha wadau watapata nafasi ya kuijadili.
Ratiba ya awali ilionyesha kuwa Machi 31, mwaka huu Serikali ilitarajiwa kuwasilisha muswada wa Sheria ya kupata Habari wa mwaka 2015 na ule wa Vyombo vya Habari wa mwaka 2015 yote kwa hati ya dharura.
Ratiba iliyotolewa jana ilikuwa haina miswada hiyo,...
10 years ago
Habarileo27 Jun
Muswada wa habari waondolewa bungeni
SERIKALI imeondoa muswada wa Sheria ya Haki ya Upatikanaji Habari wa mwaka 2015, uliokuwa usomwe kwa mara ya pili bungeni na hivyo utasubiri hadi Bunge jipya litakapokaa, baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.
10 years ago
Habarileo12 Mar
Mahakama ya Kadhi yarejeshwa bungeni
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali, likiwemo suala la Mahakama ya Kadhi, utawasilishwa katika Bunge lijalo ukiwa na maudhui ya kuangalia jinsi ya kuendesha masuala ya imani ya dini ya Kiislamu.
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Muswada wa Kadhi balaa, Jukwaa la Wakristo laupinga
10 years ago
Mtanzania05 Sep
Mahakama ya Kadhi yazikwa
![Samia Hassan Suluhu](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Samia-Hassan-Suluhu.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan
Rachel Mrisho, Dodoma
SUALA la Mahakama ya Kadhi ambalo lilizua mjadala mkali kwenye Kamati za Bunge la Bunge Maalumu la Katiba na kuundiwa kamati ndogo iliyoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hasan, limezikwa rasmi.
Hali hiyo imejidhihirisha jana kutokana na kutozungumziwa katika uwasilishaji wa maoni ya walio wengi, wakati kamati hizo zikiwasilisha maoni yake juu ya sura ya tisa na 10.
Imedaiwa...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Mahakama ya Kadhi Utata
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Maaskofu:Mahakama ya Kadhi ya Kibaguzi
JUKWAA la Wakristo Tanzania (TCF) limepinga muswada unaopendekeza kuanzishwa Mahakama ya Kadhi, likiitaka Serikali iuondoe bungeni kwa madai kuwa ni wa kibaguzi na upo kinyume na matakwa ya Katiba.
Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ya 2014, unapendekeza pamoja na mambo mengine, marekebisho ya Sheria ya Tamko la Sheria za Kiislamu ya mwaka 1964.
Maaskofu na wajumbe wa jukwaa hilo walikutana Januari 20, mwaka huu jijini Dar es Salaam na kushauri Serikali iondoe muswada huo bungeni...