Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yauchomoa Muswada wa Mahakama ya Kadhi bungeni

>Serikali imeuchomoa muswada wa kuanzisha Mahakama ya Kadhi uliokuwa uwasilishwe bungeni ili yafanyike maridhiano kwanza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Muswada wa Mahakama ya Kadhi Waondolewa Bungeni

Muswada wa Sheria ya kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara hautajadiliwa katika mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma baada ya serikali kuuondoa kwa maandalizi zaidi.Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, alisema jana usiku kuwa wameamua kuuondoa muswada huo ili kupata fursa ya kutoa elimu zaidi kwa viongozi wa dini na kuufanyia marekebisho baadhi ya maeneo.Alisema serikali inatarajia kuurejesha tena bungeni mwezi ujao. Hata hivyo, habari za uhakika kutoka Dodoma zinasema...

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama ya Kadhi yarejeshwa bungeni

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali, likiwemo suala la Mahakama ya Kadhi, utawasilishwa katika Bunge lijalo ukiwa na maudhui ya kuangalia jinsi ya kuendesha masuala ya imani ya dini ya Kiislamu.

 

10 years ago

Mwananchi

Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

>Wakati macho na masikio ya Watanzania wengi yakielekea mjini Dodoma kesho katika vikao vya Bunge vinayotarajia kujadili Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali, Jukwaa la Wakristo nchini limeitaka Serikali isitishe kujadili marekebisho ya Sheria ya Tamko la Sheria ya Kiislam ya mwaka 1964.

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YAUONDOA MUSWADA WA HABARI BUNGENI

Waziri wa nchi ofisi ya rais (kazi maalumu) Prof Mark Mwandosya(picha kutoka Maktaba)


Serikali imeuondoa muswaada wa sheria ya haki ya kupata habari 2015 uliokuwa uwasilisilishwe na kujadiliwa katika mkutano unaoendelea wa bunge mjini Dodoma ili kutoa nafasi kwa wadau kutoa maoni yao.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (asiye na wizara maalum) Prof Mark Mwandosya ameliambia bunge leo asubuhi kuwa serikali imefikia uamuzi huo kutokana na maoni ya kamati ya kudumu ya bunge ya maendeleo ya jamiii...

 

10 years ago

GPL

WAISLAM WASEMA SERIKALI HAINA NIA KUUNDA MAHAKAMA YA KADHI

Baadhi ya viongozi wa jumuiaza Kiislam kutoka kushoto ni Rajabu Katimba, Imamu Juma Ramahani na Ramadhani Lwambo.…

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUPELEKA BUNGENI MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wenye sehemu 14 likiwemo suala la Mahakama ya Kadhi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Magogoni jijini Dar es Salaam, jana jioni (Jumatano, Machi 11, 2015) Waziri Mkuu alisema Serikali inakusudia kuwasilisha muswada huo kwenye mkutano ujao wa Bunge unaotarajiwa kuanza Jumanne ijayo, (Machi 17).
Hata hivyo, Waziri Mkuu amewasihi Watanzania waondoe hofu iliyoenezwa na tetesi...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanasheria Mkuu Asema Serikali Haina Dini Mahakama ya Kadhi itahudumiwa na Waislam wenyewe

Akizungumza kupitia taarifa ya habari Itv Mwanasheria Mkuu ametangaza Rasmi kuwa Mahakama ya Kadhi itahudumiwa na Waislamu Wenyewe.Amesema kuwa Serikali haina Dini na Kamwe haitajihusisha na maswala ya imani za Kidini.Mwanasheria pia amesema kuwa Mahakama hiyo ilishakuwepo na ilikuwa ikihudumiwa na Waislamu wenyewe.Hii ni Habari njema sana kwa wale wote ambao walikuwa wanajisikia vibaya kugharamia Dini isiyokuwa yao.Naipongeza sana Serikali kwa kuamua hivyo.
Mungu ibarikiTanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Muswada wa Kadhi balaa, Jukwaa la Wakristo laupinga

>Wakati mjadala mkali ukitarajiwa kuibuka katika Mkutano wa 18 wa Bunge unaoanza leo kuhusu uanzishaji Mahakama ya Kadhi, Jukwaa la Wakristo Tanzania limeitaka Serikali kuachana na muswada huo ili kuepusha kuvunja misingi ya Taifa inayopinga ubaguzi na kutofungamana na dini yoyote.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama ya Kadhi Utata

Wajumbe wa kamati tatu za Kudumu za Bunge ambazo wenyeviti wake wanatakiwa kuvuliwa nyadhifa zao kutokana na kuhusika katika kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow, ‘wanasuasua’ kuwaondoa na kuchagua viongozi wengine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani