SERIKALI KUPELEKA BUNGENI MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-JPBsXrc94hQ/VQHsAXht77I/AAAAAAAHJ70/QmwSTOq1uQo/s72-c/pinda%2Bmizengo.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wenye sehemu 14 likiwemo suala la Mahakama ya Kadhi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Magogoni jijini Dar es Salaam, jana jioni (Jumatano, Machi 11, 2015) Waziri Mkuu alisema Serikali inakusudia kuwasilisha muswada huo kwenye mkutano ujao wa Bunge unaotarajiwa kuanza Jumanne ijayo, (Machi 17).
Hata hivyo, Waziri Mkuu amewasihi Watanzania waondoe hofu iliyoenezwa na tetesi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo19 Nov
Muswada wa Marekebisho Sheria ya Ubia wawasilishwa
SERIKALI imewasilisha bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa nia ya kuboresha usimamizi na uratibu wa masuala ya ubia kati ya pande hizo.
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Wizara ya Viwanda kupeleka muswada wa vipimo bungeni
10 years ago
Habarileo21 Mar
Muswada sheria ya maafa wawasilishwa bungeni
SERIKALI imewasilisha bungeni muswada wa sheria ya usimamizi wa maafa ambao unalenga kuanzisha chombo kinachojitegemea ambacho kitashughulikia maafa.
10 years ago
Habarileo23 Mar
Muswada sheria ya malipo ya fedha watua bungeni
SERIKALI itawasilisha muswada wa sheria ya mifumo ya malipo ya fedha ambayo itasimamia mifumo ya malipo ya elektroniki, ikiwemo utumaji wa fedha kwa kutumia simu za kiganjani.
10 years ago
Dewji Blog24 Mar
Muswada wa Sheria ya mifumo ya malipo nchini wasomwa Bungeni
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akisoma Muswada wa Sheria Mifumo ya Malipo wa Mwaka 2015 katika Mkutano wa 19, Kikao cha Sita Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Maji Mhe.Amos Makalla akijibu swali kwa lililoulizwa na Mhe.Prof.David Mwakyusa (Mb) wa (Rungwe Magharibi) Bungeni Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe.Anne Kilango akijibu swali liliulizwa na Mhe.Amina Makilagi Mbunge wa Viti Maalum lilohoji juu ya mchang’anuo wa ada za Vyuo vikuu vya Umma,Bungeni Mjini...
11 years ago
Ykileo26 Apr
BUNGE LINATEGEMEA KUWASILISHA BUNGENI MUSWADA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO.
Kupitishwa kwa miswada hiyo kuwa sheria kutapunguza hali ya kukithiri kwa matukio ya uhalifu wa kutumia mtandao, uvujaji wa taarifa za siri pamoja na upotevu wa haki miliki kutokana na kukosekana kwa sheria ya kudhibiti vitendo hivyo.
Miongoni mwa Miswada ya sheria itakayoandaliwa na Wizara hiyo ni pamoja na muswada...
10 years ago
MichuziMuswada wa Sheria ya Mifumo ya Malipo nchini Wasomwa Bungeni leo
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya amesoma Muswada wa Sheria ya Mifumo ya Malipo nchini wa mwaka 2015 kwa mara ya pili Bungeni Mjini Dodoma,Sheria hii imelenga kudhibiti wizi unaofanyika kupitia mitandao pamoja na kuhakikisha serikali inanufaika kwa kujipatia mapato.
Mhe.Mkuya alisema chimbuko la Muswada huo ni matokeo ya maboresho yaliyofanywa na Serikali katika sekta ya fedha nchini yaliyoanza mwaka 1990 na yanayoendelea mpaka sasa pamoja na maboresho...
10 years ago
VijimamboSERIKALI YAUONDOA MUSWADA WA HABARI BUNGENI
Serikali imeuondoa muswaada wa sheria ya haki ya kupata habari 2015 uliokuwa uwasilisilishwe na kujadiliwa katika mkutano unaoendelea wa bunge mjini Dodoma ili kutoa nafasi kwa wadau kutoa maoni yao.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (asiye na wizara maalum) Prof Mark Mwandosya ameliambia bunge leo asubuhi kuwa serikali imefikia uamuzi huo kutokana na maoni ya kamati ya kudumu ya bunge ya maendeleo ya jamiii...
10 years ago
StarTV03 Mar
Mapambano ya rushwa, Serikali kupeleka bungeni mpango wa tatu.
Na Ramadhan Mvungi
Arusha.
Serikali imesema ipo mbioni kupeleka bungeni mpango wa tatu wa Taifa wa kupambana na rushwa ambao utajumuisha taasisi mbalimbali za Umma ikiwepo Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA.
Huu ni mkakati madhubuti utakaosaidia kuondoa vitendo vya utoaji na upokeaji wa Rushwa nchini.
use of cialis pills
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais utawala bora Kapten Mtaafu Geogre Nkuchika alibainisha hayo Jijini Arusha katika Mkutano wa kuandaa mpango wa kupambana na Rushwa ndani...