Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapambano ya rushwa, Serikali kupeleka bungeni mpango wa tatu.

Na Ramadhan Mvungi

Arusha.

 

Serikali imesema ipo mbioni kupeleka bungeni mpango wa tatu wa Taifa wa kupambana na rushwa ambao utajumuisha taasisi mbalimbali za Umma ikiwepo Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA.

 

Huu ni mkakati madhubuti utakaosaidia kuondoa vitendo vya utoaji na upokeaji wa Rushwa nchini.

 

use of cialis pills

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais utawala bora Kapten Mtaafu Geogre Nkuchika alibainisha hayo Jijini Arusha katika Mkutano wa kuandaa mpango wa kupambana na Rushwa ndani...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUPELEKA BUNGENI MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wenye sehemu 14 likiwemo suala la Mahakama ya Kadhi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Magogoni jijini Dar es Salaam, jana jioni (Jumatano, Machi 11, 2015) Waziri Mkuu alisema Serikali inakusudia kuwasilisha muswada huo kwenye mkutano ujao wa Bunge unaotarajiwa kuanza Jumanne ijayo, (Machi 17).
Hata hivyo, Waziri Mkuu amewasihi Watanzania waondoe hofu iliyoenezwa na tetesi...

 

10 years ago

Habarileo

Maliasili waagizwa kupeleka ripoti bungeni

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imeiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa amri ya Mahakama ya kutaka hoteli zote katika mbuga za wanyama za taifa kulipa ushuru wa kitanda.

 

10 years ago

Habarileo

JK atamba mafanikio mapambano ya rushwa

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete ambaye amekuwa katika ziara za kuaga wadau wa maendeleo, ameendelea kuelezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne, aliyoiongoza kwa miaka kumi sasa katika sekta mbali mbali, ambapo mara hii amezungumzia mapambano dhidi ya rushwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wizara ya Viwanda kupeleka muswada wa vipimo bungeni

Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko inajipanga kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya vipimo ili kuwezesha kupanua wigo wa huduma katika sekta nyingine.

 

10 years ago

Mwananchi

Kafulila kupeleka hoja binafsi ya IPTL bungeni

Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila amesema kama Bunge lijalo halitatoa ripoti ya fedha zilizolipwa kwa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow atapeleka hoja binafsi bungeni ya kutokuwa na imani na Serikali.

 

11 years ago

Mwananchi

Mapambano ya rushwa yaing’arisha Tanzania

Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi tatu za juu ulimwenguni katika harakati za kuzuia na kupambana na rushwa pamoja na masuala ya utawala bora.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Hoseah achaguliwa kuongoza mapambano ya rushwa A.Mashariki

Uchaguzi huo umefanyika leo Jijini Entebe – Uganda, katika Mkutano Mkuu wa nane wa shirikisho hilo ulioanza leo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mapambano dhidi ya rushwa : Tujifunze toka Rwanda

Rushwa na ufisadi ni adui wa haki na pia ni kikwazo kikubwa cha maendeleo. Rushwa inaathiri ukuaji wa uchumi na upunguzaji wa umaskini. Dawa feki zinaruhusiwa kusambazwa na kuathiri afya za wagonjwa hata kuwaua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mapambano ya VVU na sifuri tatu

KWA sasa Tanzania imepanga kufikia sifuri tatu katika mapambano dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa kutoa elimu itakayomfikia kila mwananchi kuhusiana na athari za ugonjwa huo. Maana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani