Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muswada wa Kadhi balaa, Jukwaa la Wakristo laupinga

>Wakati mjadala mkali ukitarajiwa kuibuka katika Mkutano wa 18 wa Bunge unaoanza leo kuhusu uanzishaji Mahakama ya Kadhi, Jukwaa la Wakristo Tanzania limeitaka Serikali kuachana na muswada huo ili kuepusha kuvunja misingi ya Taifa inayopinga ubaguzi na kutofungamana na dini yoyote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

>Wakati macho na masikio ya Watanzania wengi yakielekea mjini Dodoma kesho katika vikao vya Bunge vinayotarajia kujadili Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali, Jukwaa la Wakristo nchini limeitaka Serikali isitishe kujadili marekebisho ya Sheria ya Tamko la Sheria ya Kiislam ya mwaka 1964.

 

10 years ago

Mwananchi

Maaskofu Jukwaa la Wakristo: kataeni Katiba

Jukwaa la Wakristo Tanzania limewataka waumini wake kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuisoma Katiba Inayopendekezwa na kujitokeza kuikataa kwa kupiga kura ya “hapana”.

 

10 years ago

Mwananchi

Maaskofu wa Jukwaa la Wakristo wamekoleza moto kuikataa Katiba

Gazeti la Mwananchi la Machi 13, 2015 lilibeba ujumbe mzito kwa Watanzania. Kichwa cha habari kimoja kilisomeka: “Maaskofu: Pigieni Katiba kura ya hapana.”

 

10 years ago

Mwananchi

Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Mchakato wa Katiba

Sisi, wajumbe wa Jukwaa la Wakristo Tanzania, tuliokutana tarehe 27 hadi 28 Agosti, 2014, Dar es Salaam , tumepata fursa ya kutafakari, kujadili na kujielimisha kwa kina yaliyomo katika Rasimu ya pili ya Katiba na mjadala unaoendelea katika Bunge Maalumu la Katiba. Baada ya mjadala wa kina, tunatoa tamko letu kama ifuatavyo:

 

10 years ago

Vijimambo

Muswada wa Mahakama ya Kadhi Waondolewa Bungeni

Muswada wa Sheria ya kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara hautajadiliwa katika mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma baada ya serikali kuuondoa kwa maandalizi zaidi.Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, alisema jana usiku kuwa wameamua kuuondoa muswada huo ili kupata fursa ya kutoa elimu zaidi kwa viongozi wa dini na kuufanyia marekebisho baadhi ya maeneo.Alisema serikali inatarajia kuurejesha tena bungeni mwezi ujao. Hata hivyo, habari za uhakika kutoka Dodoma zinasema...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yauchomoa Muswada wa Mahakama ya Kadhi bungeni

>Serikali imeuchomoa muswada wa kuanzisha Mahakama ya Kadhi uliokuwa uwasilishwe bungeni ili yafanyike maridhiano kwanza.

 

10 years ago

Michuzi

MH. SITTA ATEMBELEWA NA JUKWAA LA KATIBA NA JUKWAA LA WAHARIRI MJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta, akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba (JUKATA), Deus Kibamba, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Jukwaa hilo Hezron Kaaya. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akizungumza na Viongozi wa Jukwaa la Wahariri (TEF), walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo. Picha na Owen Mwandumbya.

 

10 years ago

Habarileo

Pengo: Waacheni Wakristo wajiamulie

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo“MAASKOFU hatuna mamlaka ya kuwaamulia au kuwalazimisha waumini wetu wafanye uamuzi gani kuhusu Katiba. Kuwaamulia ni kuwadharau kuwa hawawezi kufanya uamuzi sahihi wao wenyewe na kuingilia uhuru wao. “Waraka huu unaleta utengano katika taifa kuwa Wakristo tumechukua uamuzi dhidi ya Serikali na wengine....Tuwaache waumini wafanye uamuzi kwa tafakari yao binafsi bila shinikizo letu…”

 

10 years ago

BBCSwahili

Picha za mauaji ya wakristo Pakistan

Pakistan wamekusanyika kwa maziko ya waathiriwa wa mauaji ya siku ya jumapili yanayoaminiwa kufanywa na wanamgambo wa Taliban

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani